ILE SIKU NDO LEO! Afcon 2025 kinawaka, Morocco v Comoros utamu uko hapa HAYAWI hayawi yamekuwa. Baada ya kungoja kwa miaka, miezi, wiki na sasa ile siku imewadia na utepe wa mashindano ya kusaka ubingwa wa Afrika utakatwa huko Morocco usiku wa leo Jumapili.
Kocha wa Yanga aitabiria taji Morocco AFCON 2025 KOCHA mkuu wa zamani wa Yanga, Luc Eymael, amewatabiria wenyeji Morocco nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 michuano inayoanza rasmi kesho Jumapili nchini humo.
Kumbe Mo Salah ameomba radhi KIUNGO wa Liverpool, Curtis Jones amethibitisha Mohamed Salah amewaomba radhi wachezaji wenzake wa Liverpool kutokana na matamko yake aliyotoa mwanzoni mwa mwezi huu.
Arteta awatishia watu Gyokeres KOCHA Mikel Arteta amewaonya wapinzani wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa straika wake butu kwa sasa, Viktor Gyokeres atawasha moto kwenye mzunguko wa pili msimu huu.
Maresca anajifanya haitaki Man City KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema haondolewi kwenye mfumo kutokana na kuhusishwa na kibarua cha kwenda kuinoa Manchester City kurithi mikoba ya Pep Guardiola wakati atakapoondoka.
NBA All-Star 2026 inawahusu NBA All-Star Game ni mchezo wa kila mwaka unaoandaliwa na Chama cha Taifa cha Mpira wa Kikapu Marekani, ukiwakutanisha wachezaji 24 bora wa ligi hiyo. Tangu mwaka 2022, mchezo huu umekuwa...
Baada ya Steve Barker kutambulishwa Simba, Stellenbosch yatoa tamko KLABU ya Stellenbosch kutoka Afrika Kusini, imetoa tamko ikithibitisha kuwa, Steve Barker amejiuzulu nafasi yake ya Kocha Mkuu ili kuchukua jukumu jipya la kuinoa Simba SC ya Tanzania.
Madrid yaanza kujipanga kwa Ruben Neves REAL Madrid ni miongoni mwa klabu zinazotajwa kufikiria kutaka kumsajili kiungo wa Al-Hilal na timu ya taifa ya Ureno, Ruben Neves, mwenye umri wa miaka 28.
Jipindue uchekwe! EPL lazima kieleweke MSIMAMO wa Ligi Kuu England unavyosoma, Arsenal ipo kileleni kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Manchester City.
Uhondo wa AFCON 2025 unaanza hivi NGOJA tuone. Ndicho unachoweza kusema kwa sasa, wakati mashindano ya kusaka ubingwa wa Afrika yakianza huko Morocco, Jumapili.