Benjamin Sesko ishu ipo patamu NEWCASTLE United imeboresha ofa yao ya Pauni 70 milioni kwa ajili ya kuhakikisha inaipiku Manchester United kwenye mchakamchaka wa kufukuzia huduma ya straika Benjamin Sesko.
Sesko amesema ‘yes’ Man United STRAIKA, Benjamin Sesko ametoa jibu la 'yes' kwenye mpango wake wa kujiunga na Manchester United katika uhamisho wa dirisha hili la majira ya kiangazi.
Sesko akili yote Man United MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Slovenia, Benjamin Sesko, 22, inadaiwa amekubali kujiunga na Manchester United na kuikataa Newcastle United iliyokuwa inahitaji huduma yake pia.
Kocha mpya Dodoma apiga mkwara ALIYEWAHI kuwa kocha wa timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’, Vincent Mashami aliyepewa mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa Dodoma Jiji, amepiga mkwara kwamba licha ya kujua ugumu uliopo mbele yake...
Mkwasa ataka mabao zaidi CHAN KOCHA wa zamani wa Yanga na timu ya taifa, Taifa Stars, Boniface Mkwasa amesema benchi la ufundi la timu ya taifa lina kazi kubwa ya kufanya kwa kuhakikisha washambuliaji wanatumia nafasi...
VAR yaiokoa Kenya kwa Angola, yabaki kileleni Kenya imenusurika kupoteza mechi ya kwanza nyumbani ikilazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Angola kwenye mchezo wa pili wa Kundi B wa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
Baleba kuvunja kibubu Man United MANCHESTER United italazimika kulipa ada itakayovunja rekodi ya uhamisho kama inataka saini ya kiungo wa Brighton, Carlos Baleba kwenye dirisha hili la uhamisho.
Sesko kulamba Shilingi 500 milioni kwa wiki BENJAMIN Sesko atajiunga na Manchester United akiwa mchezaji wa nane anayelipwa mshahara mkubwa licha ya kusajiliwa kwenda kubeba majukumu ya kuongoza safu ya ushambuliaji ya miamba hiyo ya Old...
Duh! Enrique analeta dharau kwa Liverpool KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique amesema Liverpool na Lille “zinafanana” huku akidai ushindi ilioupata timu yake dhidi ya Lille wa mabao 4-1 Jumamosi iliyopita ilikuwa ni mazoezi tu.
Mbappe ampiku Ronaldo, amfukuzia Ronaldo WIKIENDI iliyopita, mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe alivunja rekodi ya ufungaji ya Ronaldo de Lima baada ya kufunga mabao mawili ya haraka dhidi ya Villarreal.