Harmonize, AY, Fid Q watemwa Grammy NOVEMBA 7, 2025, waandaaji wa tuzo za Grammy waliachia listi ya majina ya watakaowania tuzo hizo kubwa duniani, kati ya majina hayo hakuna msanii wa Bongo Fleva hata mmoja.
Kisa Afcon Salah kumaliza utata Misri SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah anajiandaa kuzungumza na kocha wa Misri, Hossam Hassan wiki ijayo ili kujaribu kuzuia mgogoro mwingine unaoweza kutokea baina ya klabu yake na timu ya taifa...
Guardiola ammisi Jurgen Klopp EPL KOCHA, Pep Guardiola amekiri “amemmisi Jurgen Klopp” wakati chama lake likijiandaa kukabiliana na Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uwanjani Etihad, Jumapili.
Mbeumo ajiweka kando ishu ya Afcon BRYAN Mbeumo ameamua kuziachia Manchester United na Cameroon kuamua hatima yake ya kuitwa kwenye kikosi cha Afcon ili kuepusha malumbano yoyote yanayoweza kutokea baina ya pande hizo mbili.ha...
Arteta atumia AI kusaka taji la EPL KOCHA Mikel Arteta anaamini Akili Mnemba (AI) itaichagiza Arsenal katika mpango mkakati wa kushinda taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Kanuni ya Embiid kutibua ndoto ya Doncic kuwa MVP? LUKA Doncic ameuanza msimu mpya wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kwa kiwango bora akipambana kuonyesha kiwango ambacho kimeanza kumtofautisha na wachezaji wengi katika ligi.
Gamondi aachwe afanye kazi kwa utulivu SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limefanya uteuzi wa kocha mpya wa timu ya taifa, Taifa Stars, Miguel Gamondi, kuchukua nafasi ya aliyekuwa anakaimu nafasi hiyo, Hemed Suleiman ‘Morocco’.
Uzi wa taifa lako Kombe la Dunia 2026 UJERUMANI itarudisha kumbukumbu ya nyuma kabisa kufuatia jezi itakazovaa kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya Adidas kutambulisha uzi wa nyumbani utakaotumiwa na mataifa 22 katika...
Ngoja tuone! Rekodi zinazosubiriwa kuvunjwa Ligi Kuu England msimu huu REKODI zinawekwa ili zivunjwe. Hata za Ligi Kuu England, hadithi ni hiyo hiyo zimewekwa ili zivunjwe.
Rais wa soka Asia aunga mkono ratiba ya Kombe la Dunia 2034 Kwa kuwa fainali za Kombe la Dunia zinatarajiwa kurejea barani Asia miaka 12 baada ya kufanyika Qatar, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Asia (AFC), Sheikh Salman bin Ebrahim Al Khalifa...