Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8530 results for Mwandishi Wetu :

  1. VAR yaivurugia Benin AFCON 2025, yashindwa kufanya kazi

    Mechi ya Kundi C katika Fainali za AFCON 2025 kati ya DR Congo na Benin, iliyochezwa leo Jumanne, Desemba 23, 2025 kwenye Uwanja wa Al Madina nchini Morocco, imebaki na mjadala mkubwa baada ya...

    VAR Pict
  2. Viungo wanasakwa Manchester United

    MANCHESTER United inajiandaa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye kusajili pacha mpya ya safu ya kiungo wakati wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.

  3. DR Congo yaipiga kidude Benin huko Morocco

    UKUTA wa Aaron Wan-Bissaka, Chancel Mbemba, Axel Tuanzebe na Arthur Masuaku ulikuwa kizingiti kikubwa kwa washambuliaji wa Benin kupenya na hivyo kusababisha timu yao kuchapwa bao 1-0 na DR Congo...

    DR CONGO Pict
  4. Kwa Terence Crawford… Changamoto imegeuka fursa

    TERENCE Crawford, kijana kutoka Omaha, Nebraska Marekani akiwa mtoto pekee wa Terence Sr na Debbie, ameamua kustaafu mchezo wa ngumi huku akiacha gumzo kubwa kutokana na historia ya maisha yake...

  5. Daka ana bahati hajavunja shingo

    STAA wa Leicester City, Patson Daka amenusurika kuvunjika shingo wakati alipojaribu kuruka sarakasi na kuangukia shingo wakati alipokuwa akishangilia bao aliloifungia Zambia bao la kusawazisha...

  6. Neymar kufanyiwa upasuaji, daktari wa timu ya taifa kuhusika

    Baada ya kuinusuru Santos FC kutoshuka daraja katika Ligi Kuu ya Brazil, mshambuliaji Neymar Jr., anatarajiwa kufanyiwa upasuaji muhimu wa goti, jeraha ambalo amekuwa akilidhibiti kwa miezi...

    NEYMAR Pict
  7. Koulibaly: Siwezi kulinganisha AFCON na Kombe la Dunia 

    Beki na nahodha wa Senegal, Kalidou Koulibaly, amesema hawezi kufananisha hatua ya kufuzu Kombe la Dunia na kutwaa ubingwa wa AFCON, akisisitiza kuwa mashindano ya dunia yana uzito wa kipekee kwa...

    KOULLIBALY Pict
  8. Rushine akiri kutimka kwa Fadlu kumemtikisa

    BEKI wa kimataifa wa Afrika Kusini, Rushine De Reuck, amekiri kuondoka kwa kocha Fadlu Davids ndani ya Simba kumempa wakati mgumu yeye na Neo Maema aliyowavuta Msimbazi.

  9. Tunisia yajipa matumaini Afcon 2025

    TUNISIA inaamini itaanza vizuri kabisa katika kampeni yao ya kusaka ubingwa wa Afrika wakati wa mashindano ya Afcon 2025 ambapo mechi ya kwanza itakipiga na Uganda kwenye Uwanja wa Olimpiki wa...

    TUNISIA Pict
  10. Benin yachimba mkwara mzito

    BENIN imepanga kufanya vizuri kwenye mashindano ya Afcon 2025 ikiamini imeandaa kikosi chake kwa ajili ya kuonyesha makali ya hali ya juu wakati kikishiriki kwa mara ya tano mikikimikiki hiyo ya...

    BENIN Pict
Previous

Page 267 of 853

Next