Siri yafichuka sababu Haaland kuwekwa nje dhidi ya Madrid IMEFICHUKA Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola alimweka nje straika wake Erling Haaland katika mechi ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid
Slot: Salah ni Cristiano Ronaldo mtupu AKIWA na umri wa miaka 32 kwa sasa, staa wa Liverpool, Mohamed Salah au King Salah kama anavyoitwa na mashabiki wake, amemkosha sana kocha wake Arne Slot ambaye anadai utimamu wa mwili wa fundi...
Real Madrid yatishia kujitoa La Liga REAL Madrid imefikiria mpango wa kujitoa kwenye La Liga, imeelezwa.
Maresca yupo salama Chelsea KOCHA, Enzo Maresca kwa sasa kibarua chake kipo salama huko Chelsea licha ya Mtaliano huyo kuwa kwenye kitimoto kutokana na kushinda mechi tatu tu kati ya 10 za mwisho Ligi Kuu England.
Man United, kuvunja mkataba wa Amorim itawakosti Sh 65B MANCHESTER United italazimika kulipa fidia ya Pauni 12 milioni endapo kama itaamua kumfuta kazi kocha Ruben Amorim mwishoni mwa msimu huu.
Man United yafuta cheo cha mkurugenzi wa michezo MANCHESTER United imeamua kukifuta cheo cha mkurugenzi wa michezo baada ya kufeli kwenye jaribio lao la kumtumia Dan Ashworth.
Mastaa kibao wawekwa kando kikosi cha FIFPRO SHIRIKISHO la wanasoka wa kulipwa (FIFPRO) limefichua kikosi chake cha kwanza bora huku majina kibao ya wanasoka mastaa yakikosekana.
African Sports watoa visingizio Championship KOCHA Mkuu wa African Sports 'Wanakimanu manu', Abdallah Kessy ametoa sababu zinazowakwamisha kupata matokeo mazuri katika Ligi ya Championship, huku akisisitiza bado hajaikatia tamaa timu hiyo...
Duh! Barcelona yapata pigo, Yamal kukaa nje mwezi BARCELONA imethibitisha winga wao Lamine Yamal atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu hadi nne baada ya kupata maumivu ya enka kwenye mchezo wa kipigo kutoka kwa Leganes kwenye mikikimikiki ya La...
Carragher ataka beki tatu Liverpool BEKI wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amewaambia mabosi wa timu hiyo kuhakikisha wanafanya usajili wa beki wa kushoto dirisha la Januari ili kuja kumsaidia Andy Robertson, ambaye kwa sasa...