Vinicius Jr atoa sharti moja Madrid, Waarabu, PSG wajiweka sawa
WINGA wa Real Madrid, Vinicius Jr, 25, amewaambia viongozi wa timu hiyo anataka kulipwa mshahara sawa na ule ambao mshambuliaji mwenzake wa timu hiyo, Kylian Mbappe analipwa na kama takwa hilo...