Gwiji England amshauri Viktor Gyokeres GARY Lineker amemtaka straika wa Arsenal, Viktor Gyokeres kujifunza kwa Dominic Calvert-Lewin wakati huu akiendelea kuzoea mazingira ya Ligi Kuu England.
Paul Pogba abeba tuzo, amshukuru Ronaldo KIUNGO wa Monaco, Paul Pogba amemshukuru sana Cristiano Ronaldo baada ya kupokea tuzo yake ya Best Comeback Award katika sherehe za Globe Soccer Awards 2025 zilizofanyika Dubai, Falme za Kiarabu.
Kumekucha Arsenal, Arteta kushusha vyuma Januari KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri kwamba atafanya jambo kwenye dirisha la usajili la Januari ili kukiongezea nguvu kikosi chake.
Amorim atoa msimamo kuhusu mfumo mpya KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema yupo tayari kubadilika.
Liverpool yaamua kujisubirisha kwa Marc Guehi LIVERPOOL imeamua kusubiri hadi wakati wa dirisha la usajili la majira ya kiangazi mwakani kabla ya kuanza tena mazungumzo ya kumsajili beki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc...
Morocco haishikiki, Diarra atinga mtoano WENYEJI wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2025), Morocco wameibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Zambia na kumaliza vinara kwenye Kundi A huku ikimkaribisha mchezoni...
Adingra asononeka kukosa Afcon 2025 STAA wa Ivory Coast, Simon Adingra amefunguka juu ya huzuni yake ya kuwekwa kando katika kikosi cha Tembo kinachoshiriki mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco.
Ghafla ubingwa wa Ligi Kuu England hugeuka mbio za farasi watatu Na timu zote tatu zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu England zilishinda mechi zao Jumamosi, na hali ikaendelea kubaki kama ilivyokuwa.
Luca Zidane: Babu kafurahi kuja Algeria KIPA, Luca Zidane, mtoto wa gwiji wa soka wa Ufaransa, Zinedine, amesema amepata sapoti kubwa kutoka kwa babu yake juu ya ishu ya kubadili ushiriki wake kwenye soka la kimataifa kuitumikia...
Kiungo wa boli aikacha Kenya ili akipige na Dube KIUNGO mzaliwa wa Kenya, Jonah Fabisch amefunguka uamuzi wake wa kuitumikia Zimbabwe kwenye soka la kimataifa na kuikacha Harambee Stars.