Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9722 results for Mwandishi :

  1. Mukoko aigomea Yanga, GSM aingilia kati

    DILI la kiungo na nahodha msaidizi wa Yanga, Mukoko Tonombe kwenda TP Mazembe ya DR Congo, limekufa baada ya nyota huyo kugoma kutolewa kwa mkopo katika klabu hiyo, huku bilionea wa klabu hiyo...

  2. Mbowe: Yanga mmeliheshimisha Taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewapa matumaini wachezaji na viongozi wa Yanga kwa kushindwa kutwaa taji la Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC). Yanga...

  3. Tanzania, Sudani Kusini hakuna mbabe

    DAKIKA 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika kwa timu ya Tanzania kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Sudani Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la CECAFA kwa vijana chini ya miaka 23 mchezo...

  4. Yanga yamfungulia mlango Fei Toto

    Uongozi wa Yanga leo Machi 6, 2023 umemwandikia barua mchezaji Feisal Salum 'Fei Toto' kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaji halali wa...

  5. Zoran atetea mastaa wake

    Baada ya tamasha la Simba Day juzi Jumatatu, kocha Zoran Maki amesema wachezaji walicheza kwa presha ya juu na kushindwa kufanya alichowaelekeza. Maki ameliambia Mwanaspoti mastaa wake...

  6. Rais Samia aongeza dau Yanga Sh20 milioni, ila...

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh20 milioni kwa kila bao la ushindi kwa timu ya Yanga ambayo imetinga fainali za kombe la Shirikisho jana Jumatano Mei 18, 2023. Katika hatua ya nusu...

  7. Manara amshukuru Aveva

    ALIYEKUWA msemaji wa Simba Haji Manara amemshukuru aliyekuwa Rais wa timu hiyo, Evance Aveva kutokana na mchango mkubwa aliouonyesha kwa kumpa sapoti alipoanza kuhudumu katika timu hiyo...

  8. Gekul aipongeza Simba Queens

    Dodoma. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul ameipongeza timu ya soka ya wanawake ya Simba Queens kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women...

  9. Kumbe Nabi alimkataa Makambo

    Kocha wa Yanga Nesreddine Nabi amesharejea nchini na Mwanaspoti linafahamu Mtunisia huyo hakutaka kumsajili Makambo, lakini mabosi wa Yanga tayari walishafika mbali katika kumrejesha. Kitu...

  10. Metacha akitibua Yanga

    KIPA wa Yanga, Metacha Mnata ameshakitibua tena pale Yanga na sasa amewekwa kando na kikosi hicho kwa madai ya utovu wa nidhamu. Inaelezwa kipa huyo ameingia kwenye utata wa nidhamu baada ya...

Previous

Page 250 of 973

Next