Kigogo Man United azomewa Old Trafford BOSI wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe alizomewa na mashabiki alipowasili Old Trafford kwa ajili ya kutazama dabi ya Manchester.
Kocha Spurs akalia kuti kavu, wakati wowote kitanuka MUSTAKABALI wa Kocha Thomas Frank katika kikosi cha Tottenham uko matatani baada ya mashabiki kutaka afukuzwe baada ya kipigo cha nyumbani cha mabao 2-1 kutoka kwa West Ham.
Tumeonewa… Arteta awaka kunyimwa penalti ya wazi KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema anaamini timu hiyo ilipaswa kupewa 'penalti ya wazi kabisa' katika mechi ya juzi usiku ya Ligi Kuu England dhidi ya Nottingham Forest iliyomalizika kwa suluhu.
Nigeria yashika namba tatu Afcon 2025 NIGERIA imethibitisha nafasi yake ya tatu katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 4-2 dhidi ya Misri.
Man United ya Carrick yaichapa Man City 2-0 MICHAEL Carrick aliwahi kusema bado kuna “uchawi” ndani ya Manchester United.
Pogba wa Zenji aibukia KMC KIUNGO mshambuliaji wa Mlandege, Juma Kidawa ‘Pogba’ aliyekuwa akihusishwa kutua Azam FC, ameibukia KMC kwa kusainishwa mkataba wa miaka ili kuitumikia timu hiyo inayopambana kujiweka katika...
Man United ugonjwa upo eneo hili! KITU kimoja tu kuhusu Manchester United, imechosha. Wote wanaichukulia kama klabu kubwa zaidi England na kwa hoja nzuri, pia inaweza kuwa ya kwanza au ya pili kwa ukubwa duniani.
Huyu Gallagher? Spurs watampenda tu MASHABIKI wa Tottenham Hotspur wameelezwa kwamba watampenda mara moja kiungo mchapakazi Conor Gallagher bila kujali historia yake Chelsea.
Vinicius Jr, Madrid waanza kujadili mkataba mpya REAL MADRID wameanza mazungumzo ya kumuongeza mkataba wa nyota wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Junior, 25, ikiwa ni siku chache baada ya kuondoka kocha Xabi Alonso ambaye inadaiwa kuwa hakuwa...