Elton John kutumbuiza hata baada ya kifo chake MWANAMUZIKI nguli wa Uingereza, Elton John anatarajiwa kuendelea kuwaburudisha mashabiki wake hata baada ya kifo chake baada ya kuripotiwa kusaini mkataba wa mamilioni ya Pauni wa matumizi ya...
Dube aachana na Yanga, arejea Zimbabwe MSHAMBULIAJI Prince Dube, amepiga chini ofa tatu na kufanya uamuzi mgumu wa kurejea kwao Zimbabwe akisaini mkataba wa miaka miwili timu iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu nchini humo.
Kigari cha Neymar ‘chazua gumzo’ Marekani NYOTA wa Brazil, Neymar ameonekana akitumia kigari 'skuta ya umeme' katika Hifadhi ya Burudani ya Universal Orlando Resort nchini Marekani, siku chache tu baada ya Brazil kuondolewa kwenye Kombe...
Man United yamnasa kiungo Ubelgiji Manchester United ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Aston Villa, Youri Tielemans, katika harakati za kuimarisha safu yao ya kiungo kabla ya msimu mpya.
Wakongomani waibeba Yanga ikianza msimu na ushindi YANGA imeanza vizuri Ligi Kuu Bara msimu wa 2026-2027, baada ya kuichapa Namungo nyumbani kwao mabao 3-1, huku mabao yake mawili kati ya matatu yakifungwa na Wakongomani.
Arteta ataka kumkumbatia refa, akapigwa kadi KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta alijikuta kwenye tukio la kushangaza baada ya kupewa kadi ya njano katika mchezo dhidi ya Sunderland, lakini namna alivyojaribu kukwepa adhabu hiyo iliwachekesha...
Simba yatambulisha jezi ya miaka 90 KLABU ya Simba jana ilitambulisha jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, huku mzabuni wa jezi hizo Joseph Rwegasira akisema uzi huo umezingatia klabu hiyo kusherehekea miaka 90 tangu...
Pigo Yanga, Pacome kukosekana msimu ujao Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia usajili wa mshambuliaji Peter Shalulile, kuna habari ambayo inaweza kuwapa huzuni juu ya kiungo wao kipenzi, Pacome Zouzoua.
Michael Olise mbioni Real Madrid NYOTA wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa, Michael Olise, ameripotiwa kuwa na hamu kubwa ya kujiunga na Real Madrid katika dirisha hili la usajili.
Trump kushuhudia fainali ya Kombe la Dunia 2026 IKULU ya Marekani (White House) imethibitisha Rais Donald Trump atahudhuria fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Argentina na Hispania itakayochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa New York/New Jersey.