Guardiola alivyowafunika makocha wote kwa matumizi kwenye usajili TANGU ajiunge na Manchester City mwaka 2016, Pep Guardiola amekuwa meneja aliyotumia fedha nyingi zaidi katika soka duniani, na kwa tofauti kubwa sana ukilinganisha na wengine.
Singida Black Stars yamrudisha nchini Raheem Singida Black Stars imekamilisha usajili wa aliyekuwa El Mahalla ya Misri, Raheem Shomary kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo huku mwenyewe akitaja sababu za kurudi...
Chuma Casemiro kinaondoka, watu wa kazi wagombea buti zake! KIUNGO wa boli, Casemiro ataondoka Manchester United mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu.
Baresi ana kibarua kizito kwa TRA Utd KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinachezwa leo Ijumaa zikihusisha timu zinazopambana kujiweka pazuri kwenye msimamo, huku KMC iliyoifuata TRA United, ikiwa katika mtego chini ya benchi jipya la...
Paul Peter anazitaka hela dirisha kubwa KUMBUKUMBU tuliyonayo hapa kijiweni ni straika wa mpira, Paul Peter alishawahi kuonja hela za timu kubwa hapa nchini ingawa hazikuwa nyingi sana kwa vile alikuwa bado kinda wakati huo.
TGU, R&A, Peninsula Club yanoa makocha wa gofu JUMLA ya makocha 16 wa mchezo wa gofu wamepata mafunzo kwa ajili ya kuwafundisha wachezaji chipukizi hapa nchini.
Msingi mkubwa wa soka ni kuwa na akademi SOKA ni moja ya michezo pendwa na unaokua kwa kasi nchini. Soka linapendwa tangu miaka ya zamani lilipoanzishwa na ukuaji wake umepitia hatua nyingi na kuzalisha nyota kibao na kutoa ajira kwa...