Ambani aendeleza rekodi bora, Leopards ikitakata Mashemeji Derby
Kocha wa AFC Leopards, Fred Ambani, ameendeleza rekodi yake ya kutopoteza dhidi ya Gor Mahia baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda katika Dabi ya 98 ya Mashemeji kwenye Uwanja wa Nyayo, jana...