Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

7978 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kocha Chelsea afichua jambo zito

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema siku mbili zilizopita zilikuwa ‘mbaya zaidi’ katika kipindi chake cha ukocha wa klabu hiyo, akidai kuwa alikosa sapoti kutoka kwa baadhi ya watu wa timu hiyo.

    MARESCA Pict
  2. Mashabiki wataka tiketi Kombe la Dunia 2026 zisiuzwe tena

    MASHABIKI wa soka wenye hasira wametaka uuzaji wa tiketi za Kombe la Dunia 2026 usitishwe mara moja kutokana na bei za kinyonyaji.

    KOMBE LA DUNIA Pict
  3. Aliyeandaa ziara ya Messi India akamatwa

    MRATIBU wa ziara ya Lionel Messi nchini India amekamatwa kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano zaidi kutokana na vurugu zilizozuka wakati wa ziara ya staa huyo iliyofanyika kwenye Uwanja wa Salt Lake...

    MESSI Pict
  4. Mbadala wa Xabi Alonso kapatikana Real Madrid

    REAL Madrid imeanza tayari mchakato wa kutafuta kocha mpya ambaye atachukua mikoba ya Xabi Alonso endapo timu hiyo itaendelea kupata matokeo mabovu.

    XABI Pict
  5. Kali za 2025, huko mitandaoni zimekimbiza balaa

    MWAKA 2025 unaisha na baadhiya wasani wakijivunia mafanikio walyoyapata, ukifunga pia milango kwa wasani wachanga akiwamo Dogo Paten.

    New Content Item (1)
  6. Vigogo wanaopewa nafasi ya kupenya kwenye kila kundi Afcon 2025

    WIKI moja tu imebaki kabla ya kuanza kwa mchakamchaka wa mashindano ya soka ya kusaka ubingwa wa Afrika.

  7. Vardy amegoma kuzeeka Serie A

    STRAIKA veterani, Jamie Vardy amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Novemba kwenye mikikimikiki ya Serie A kutokana na kiwango chake matata kabisa anachokionyesha huko Cremonese.

  8. Jesus ni mwendo wa kusoma Biblia tu

    STAA wa Arsenal, Gabriel Jesus amefichua amekuwa kwenye mashaka makubwa kwa miezi 11 iliyopita.

  9. Scholes amshambulia vikali Ruben Amorim

    GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes ameibuka na kumshambulia kocha wa sasa wa timu hiyo, Ruben Amorim, sio mtu sahihi wa kuinoa klabu hiyo.

  10. Hersi kushiriki kongamano la FIFA, Qatar leo

    SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA), Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa wataalam watakaofundisha...

Previous

Page 224 of 798

Next