Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9692 results for Mwandishi :

  1. Slot asema Liverpool haitabadilisha mfumo wa usajili

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot ametoa mwanga kuhusu mipango ya usajili ya dirisha lijalo la majira ya kiangazi, akisisitiza hana mpango wa kuondoka katika kikosi hicho.

  2. Uwanja wa Mkapa kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027

    SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya...

    KWA MKAPA Pict
  3. Kocha Chelsea alalamikia kona za Arsenal

    Chelsea iliruhusu mabao yote mawili dhidi ya Arsenal kutokana na mipira ya kona katika kipigo cha 2-1 kwenye Ligi Kuu England , Jumapili.

  4. Jurgen Klopp atamani kurudi mzigoni

    KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp anaweza kufanya uamuzi wa kushangaza na kurejea tena kufundisha soka baada ya kuanza kuhisi hamu ya kurudi kwenye benchi la ufundi.

    KLOPP Pict
  5. Tudor akataa kuthibitisha hatma yake Tottenham baada ya vipigo vitatu

    KOCHA wa Tottenham Hotspur, Igor Tudor, ambaye yuko kwenye presha kubwa, amekataa kuthibitisha kama bado atakuwa kocha wa timu hiyo katika mechi ijayo.

  6. Msako wa kocha Burkina Faso, Steve McClaren achomoza

    ALIYEKUWA kocha wa timu ya taifa ya England na klabu kadhaa za Ligi Kuu nchini humo, Steve McClaren, ameripotiwa kuingia katika orodha ya mwisho ya wagombea wa nafasi ya kuifundisha Burkina Faso.

    BURKINA Pict
  7. Arsenal yanogewa na Piero Hincapié, kumsajili moja kwa moja

    KLABU ya Arsenal imeripotiwa kuridhishwa na kiwango cha beki wa kimataifa wa Ecuador, Piero Hincapié, tangu ajiunge na timu hiyo kwa mkopo akitokea Bayer Leverkusen, na sasa imepanga kumsajili...

    ARSENAL Pict
  8. Kuhusu Madrid, Klopp ukweli ni huu

    MUSTAKABALI wa Kocha Jurgen Klopp kwa mara nyingine umeanza kuzua mjadala mkubwa baada ya ripoti mbalimbali kudai anafikiria kurejea tena kwenye benchi la ufundi baada ya kupewa ofa ya ajira na...

  9. Guardiola ataka kuvunja rekodi, apata tena adhabu England

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema anataka kuvunja rekodi zote nchini humo baada ya kupata adhabu nyingine ya kufungiwa, huku akisisitiza hataacha kuwatetea wachezaji wake.

  10. Kocha mpya Morocco atuma salamu kwa wachezaji

    KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Morocco, Mohamed Ouahbi, ameahidi kuendeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana hivi karibuni huku akisisitiza kuwa uteuzi wa wachezaji utazingatia kiwango cha...

    KOCHA Pict
Previous

Page 224 of 970

Next