Chelsea kuvunja benki kwa Jude Bellingham CHELSEA inaripotiwa kupanga kutumia kiasi kikubwa cha hadi Euro 150 milioni kwa lengo la kumsajili kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Jude Bellingham, mwenye umri wa miaka 22.
Vita ya ubingwa EPL ni vuta, nikuvute! MSIMAMO unasoma, pointi nne tu zimetofautisha timu tatu za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Arsenal ipo kileleni ikiwa imekusanya pointi 50 katika mechi 23, ikifuatiwa na Manchester City...
‘Ubaya ubwela’… Njia ya kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya NDO hivyo. Hii inaitwa ubaya ubwela. Njia ya kila timu ya England kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu sasa imefahamika.
Ligi ya Mabingwa Ulaya inavyomwaga pesa kama njugu MKWANJA kamili kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya unaweza kuipa klabu angalau Pauni 115 milioni msimu huu, huku Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City zikipata zaidi kutokana na malipo ya...
Harry Maguire bado hakijaeleweka Man United MANCHESTER United bado inatafakari kuhusu hatma ya beki wao wa kimataifa wa England, Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 32.
Libase Gueye aanza na moto, Simba ikiichapa Mashujaa 2-0 LIBASE Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya Mashujaa, amefanikiwa kufunga bao, huku akionyesha kiwango kilicholeta matumaini mapya ndani ya kikosi hicho...
Mbetie mchezaji - Mfumo wa mafanikio wa AfroPari Uaminifu ndio msingi wa ubashiri wenye mafanikio na kigezo muhimu ni katika kuchagua kampuni ya ubashiri. Kila mcheza kamari anataka jukwaa lililo wazi linalohakikisha malipo ya matokeo ya mikeka...
Funika mdomo, siri ya wachezaji wakiteta uwanjani HUENDA umekuwa ukiona jambo hili, lakini hukuwahi kufikia linafanyika kwa sababu zipi. Ndiyo, ni mara nyingi imekuwa ikionekana wachezaji au makocha pale wanapokuwa wakizungumza uwanjani hupenda...