Walipa kodi mashuhuri Ligi Kuu England STAA wa Manchester City, Erling Haaland anaongoza katika orodha ya wachezaji wa Ligi Kuu England waliolipa kodi kubwa zaidi, takribani Pauni 16.9 milioni mwaka jana.
Arsenal yarudisha makali, yaichapa Leeds kwao ARSENAL imekomesha mfululizo wa mechi tatu bila ushindi kwenye Ligi Kuu England baada ya kuibabua Leeds United mabao 4-0 katika Uwanja wa Elland Road, Jumamosi.
Arne Slot akubali kukosolewa KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, anakiri kuwa ni haki kupuuzia mafanikio ya msimu uliopita na kumhukumu yeye binafsi kwa misingi ya msimu wa sasa pekee, huku presha ikizidi kumkabili Mdachi huyo...
Declan Rice ajiweka anga za wababe England DECLAN Rice amekuwa mchezaji wa tano Mwingereza kwa umri mdogo zaidi katika historia ya Ligi Kuu England kufikisha mechi 300.
Carrick afunguka ishu ya Fernandes KOCHA wa muda wa Manchester United, Michael Carrick anasisitiza kuwa watasubiri hadi Juni mwaka huu ili kuamua mustakabali wa nahodha wao, Bruno Fernandes.
Kazini kwa Gyokeres kuna kazi STRAIKA Viktor Gyokeres ni rahisi tu kusema kazini kwake kuna kazi baada ya magwiji tofauti wa Ligi Kuu England kumsakama wakidai “hana kile kinachohitajika” kuifanya Arsenal iwe mabingwa, kwa...
Aliye ‘inyonga’ Azam kuchezesha Yanga na Ahly leo Refa kutoka Cameroon Antoine Effa Essouma ndiye atachezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baina ya Yanga na Al Ahly, leo Jumamosi, Januari 31, 2025 katika Uwanja...
Rekodi hii ya Mbappe Madrid, Ronaldo akasome Zaidi ya nusu ya mabao ya Real Madrid katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu yamefungwa na Kylian Mbappe, huu ni wastani mkubwa zaidi wa mabao kufungwa na mchezaji mmoja katika historia ya klabu...
Real Madrid ingemsikiliza Ronaldo ingekuwa na kikosi hiki 2018 SUPASTAA Cristiano Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi katika historia ya Real Madrid na kama vigogo hao wa Hispania wangesikiliza ushauri wake mwaka 2018, basi wangekuwa na kikosi cha...
Ukisikia wameondoka mwisho wa msimu Huu usishtuke! MASTAA hawa 10 wa Ligi Kuu England ambao wote waliwahi kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu katika klabu zao baadhi hata msimu uliopita tu, lakini sasa wanaweza kuwa njiani kuondoka mwishoni...