Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9692 results for Mwandishi :

  1. Harry Maguire aongezewa adhabu England

    CHAMA cha soka cha England, kimethibitisha Harry Maguire ataukosa mchezo wa Manchester United dhidi ya Chelsea baada ya kuongezewa adhabu ya kufungiwa mechi moja zaidi.

    MAGUERE Pict
  2. Kisa saa, David Silva kufanyiwa uchunguzi

    KIUNGO wa zamani wa Manchester City, David Silva anakabiliwa na uchunguzi wa kimahakama unaohusu sakata la saa za kifahari zinazodaiwa kuingizwa bila kulipiwa kodi nchini Andorra.

    SILVA Pict
  3. Palmer aikana Man United

    INAWEZEKANA hii ikawa habari njema kwa mashabiki wa Chelsea, kufuatia kiungo mshambuliaji wa matajiri hao wa London, Cole Palmer, kufichua kuwa hana mpango wowote wa kuondoka klabuni hapo huku...

  4. Frank Lampard aeleza furaha kuirejesha Coventry EPL

    KOCHA wa Coventry City, Frank Lampard, ameeleza kwa hisia furaha yake baada ya kuiongoza klabu hiyo kurejea kwenye Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25.

  5. Vita ya clean sheet yamuibua Mgaboni

    KIPA wa TRA United raia wa Gabon, Jean-Noel Amonome, amesema licha ya kutoruhusu bao katika mechi tisa za Ligi Kuu Bara msimu huu kwa maana ya kufikisha (Clean Sheets tisa), ila, malengo yake ni...

  6. Kocha Spurs awageuzia kibao mashabiki

    KOCHA wa Tottenham, Thomas Frank amegeukia mashabiki wa timu hiyo na kuwachana kwa tukio lao la kumzomea kipa Guglielmo Vicario wakati wa mechi yao dhidi ya Fulham.

    SPURS Pict
  7. Curtis Jones: Liverpool tupo kwenye hali mbaya, tujitafakari

    Kiungo wa Liverpool, Curtis Jones, ametoa wito kwa wachezaji wenzake baada ya timu hiyo kupokea kichapo kizito kutoka kwa PSV jana Jumatano, Novemba 26, 2025 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

    JONES Pict
  8. Gerrard: Liverpool hakuna visingizio

    LEJENDI wa Liverpool, Steven Gerrard amesema hakuna 'visingizio' kutokana na msururu mbaya wa matokeo ya timu hiyo.

    GERRARD Pict
  9. Mabosi Man United wakiri kuna shida

    MABOSI wa Manchester United wamekubali kikosi cha timu hiyo bado kina upungufu licha ya kusajili wachezaji kadhaa kwa Pauni 200 milioni dirisha lililopita la majira ya kiangazi.

    MAN UTD Pict
  10. Mashabiki Young Boys wakinukisha Villa Park, Malen ajeruhiwa

    Mshambuliaji wa Aston Villa, Donyell Malen, amepata jeraha kichwani baada ya kugongwa na kikombe katika mechi ya Europa League dhidi ya Young Boys, iliyopigwa jana Alhamisi, Novemba 27, 2025...

    YOUNG Pict
Previous

Page 219 of 970

Next