Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9692 results for Mwandishi :

  1. Iran hatarini kukosa Kombe la Dunia 2026

    Mkuu wa Shirikisho la Soka la Iran, Mehdi Taj, ametangaza kuwa hadi sasa hakuna kibali cha kuingia nchini Marekani (visa) hata kimoja kilichotolewa na serikali ya nchi hiyo kwa ajili ya timu ya...

    IRAN Pict
  2. Waarabu wafanya kufuru kwa Lewandowski

    MSHAMBULIAJI mkongwe wa Barcelona, Robert Lewandowski, anakaribia kuachana na klabu hiyo katika dirisha lijalo na kujiunga na Al-Hilal kutoka Ligi Kuu ya Saudi Arabia.

    LEWANDO Pict
  3. Aston Villa yaweka historia Ulaya baada ya miaka 44

    Aston Villa imeandika historia mpya Ulaya baada ya kuibuka mabingwa wa Europa League kwa kuichapa Freiburg mabao 3-0 katika fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Tüpraş jijini Beşiktaş huko Uturuki.

  4. Oleksandr Usyk kuzichapa na nguli wa Kickboxing

    Mfalme asiyepingika wa uzani wa juu duniani, Oleksandr Usyk, atarejea ulingoni wikiendi hii Mei 23, 2026 kukabiliana na bingwa wa zamani wa dunia wa mchezo wa kickboxing, Rico Verhoeven, katika...

    USKY Pict
  5. Carrick ipongeza Arsenal, akithibisha kupewa mkataba wa kudumu Man United

    Kocha wa mpito wa Manchester United, Michael Carrick, amethibitisha kwa vitendo kuwa atateuliwa kuwa kocha mkuu wa kudumu wa klabu hiyo, huku tangazo rasmi likicheleweshwa na mchakato wa...

    CARRICK Pict
  6. MCL yazindua mwongozo wa matumizi ya AI

    KAMPUNI ya Mwananchi Communications (MCL), imezindua mwongozo wa matumizi ya akili unde (AI), katika shughuli zake za uhariri na uendeshaji wa majukwaa yake mbalimbali.

  7. De Zerbi hajakata tamaa, asisitiza kubaki EPL

    KOCHA wa Tottenham, Roberto De Zerbi amesisitiza timu yake inaweza kushinda mechi zote tano zilizobaki Ligi Kuu England na kujinasua kutoka eneo la kushuka daraja.

    SPURS Pict
  8. Moises Caicedo kubaki Stamford Bridge hadi 2031

    KIUNGO wa Chelsea, Moises Caicedo anatarajiwa kuendelea kubaki katika kikosi hicho kwa kusaini mkataba mpya na klabu hiyo yenye maskani yake jijini London.

    CAICEDO Pict
  9. Barcelona yaibwaga Chelsea ishu ya Dembele

    KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Mali, Seydou Dembele anatarajiwa kusaini mkataba wa kuichezea Barcelona wakati wowote kuanzia sasa akitokea katika kituo cha kukuza vipaji cha Jean Marc...

    DEMBELE Pict
  10. Wolves yashuka daraja, kucheza Championship msimu ujao

    Suluhu ya bila kufungana kati ya Crystal Palace dhidi ya West Ham kumeifanya timu ya Wolves kushukuka daraja, itacheza Championship msimu ujao 2026/27.

Previous

Page 218 of 970

Next