Pogba mambo yazidi kwenda mrama MAISHA yamezidi kuwa magumu kwa staa na kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba ambaye, amepata pigo jingine baada ya kuondolewa kwenye kikosi cha Monaco kitakachoshiriki hatua za...
Messi aanza mazungumzo kurudi Newell’s STAA wa Inter Miami ya Marekani, Lionel Messi yupo katika mazungumzo na klabu yake ya utotoni, Newell’s Old Boys, ambayo imevutiwa zaidi baada ya staa huyo kuthibitisha ndoto yake ni kuichezea...
Jude Bellingham afunguka kuhusu jeraha STAA wa Real Madrid, Jude Bellingham ametoa ujumbe wa maneno matatu kuhusu maendeleo ya jeraha lake la msuli wa nyuma ya paja (hamstring) alilopata katika mechi dhidi ya Rayo Vallecano.
Kombe la Dunia linaweza kuondoka Marekani? IKO HIVI SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) linaweza kuwa na uwezo wa kuiondolea Marekani haki ya kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2026, ikiwa moja kati ya vipengele katika mkataba wa...
Kilichosbabisha kifo cha beki wa Kakamega FAMILIA ya soka nchini Kenya imeingia katika maombolezo mazito kufuatia kifo cha beki wa klabu ya Kakamega Homeboyz, Silas Abungana.
Zamu ya Kibu Denis kusepa Simba, Waarabu wamwaga mpunga Muda wowote kuanzia sasa, Simba itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji Kibu Denis kwenda Al Nasr ya Libya.
Ronaldo kufanya kikao na mabosi wa Al Nassr HIVI karibuni kumekuwa na sintofahamu katika kikosi cha Al Nassr baada ya Cristiano Ronaldo kugoma kucheza mechi dhidi ya Al-Riyadh mapema wiki hii.
Dili zote za usajili Ligi Kuu England dirisha la Januari, 2026 MKWANJA mrefu, Pauni 400 milioni zimetumiwa na klabu za Ligi Kuu England kwenye usajili wa dirisha la Januari 2026.
Hii hapa Coastal iliyozitesa Simba, Yanga ikabeba ndoo! KWA mashabiki wa soka wa Tanga, kuna misimu miwili tu ya Ligi ya soka nchini ambayo ni migumu kufutika vichwani mwao, mmoja ni ule wa mafanikio makubwa kisoka na mwingine wa huzuni ulioshuhudia...
Man United bado inamtaka Jean-Philippe Mateta MANCHESTER United inatajwa kufufua tena nia yake ya kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace, Jean-Philippe Mateta, 28, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi.