Rekodi tamu ya JKT Tanzania msimu huu 2025/26 BAADA ya ushindi dhidi ya Mashujaa ikifikisha pointi 27 kwenye mechi 15 ilizocheza, JKT Tanzania imebakiza tatu za ushindi ambazo ni sawa na pointi tisa ili kufikia rekodi ya alama 36...
Bayern yajiondoa kwa Alvarez, Arsenal kicheko BAYERN Munich imeripotiwa kutokuwa na mpango wa kumsajili straika wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 26.
Mbio za ubingwa EPL… Ukijichanganya, unachanganyikiwa! MBIO za ubingwa zina kila dalili ya kuwa za kihistoria. Na jambo ambalo sasa liko wazi kabisa ni kwamba Manchester City iko tayari kupambana na Arsenal hadi hatua ya mwisho.
Virgil van Dijk amtetea Slot BEKI wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk amesimama kidete kumlinda kocha anayekosolewa, Arne Slot, akisisitiza licha ya msimu mgumu, Mdachi huyo anastahili kupewa nafasi ya kurejesha mwelekeo.
Rooney: Arteta? Kibarua kigumu GWIJI wa Ligi Kuu England, Wayne Rooney anaamini Mikel Arteta anaweza kufukuzwa kazi iwapo hatafanikiwa kushinda taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Owen Hargreaves: Viungo watatu ni dawa Man United OWEN Hargreaves amesema Michael Carrick hatimaye ametatua tatizo la kiungo la Manchester United, akimsifu Bruno Fernandes kwa kiwango cha ajabu alichokiita ni cha kushtua kabisa.
Yanga kwenye presha, tatizo la kufunga likiwaandama CAFCL Wakielekea kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF), Young Africans wanajua kuwa ni muujiza pekee ndio unaweza kuwaweka hai katika mashindano ya hayo.
Rashford, Barca sasa mambo freshi! BARCELONA imefikia makubaliano ya kumsainisha mkataba wa moja kwa moja mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, 28, anayecheza katika kikosi chao kwa mkopo...
Lamine Yamal avunja rekodi iliyomshinda Messi Barca HABARI ndo hiyo. Lamine Yamal amekuwa mchezaji mdogo zaidi katika historia ya FC Barcelona kufunga mabao 40 katika mashindano yote akiwa na klabu hiyo yenye maskani yake Camp Nou.