Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8528 results for Mwandishi Wetu :

  1. Eze adai kazi ya mkewe inamtuliza

    STAA wa Arsenal, Eberechi Eze, amesema kazi ya mkewe kama muuguzi wa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) imempa “ukumbusho wa uhalisia” kuhusu presha ya kufuatilia na kushinda mataji.

  2. Mastaa Madrid wakutana kupata mlo pamoja

    MASTAA wa Real Madrid walikutana kwa ajili ya kupata chakula cha jioni kuweka makubaliano kitu gani cha kufanya kipindi kilichosalia cha msimu huu wa 2025/26.

  3. Spurs yamfuta kazi kocha wake Frank

    KOCHA, Thomas Frank amefutwa kazi ya kuinoa Tottenham Hotpur kutokana na kikosi hicho kupata matokeo ya hovyo.

  4. Wagosi wamaliza gundu la siku 76

    USHINDI wa mabao 4-1 ilioupata Coastal Union mbele ya Tanzania Prisons umeiwezesha kuondoa jinamizi la siku 76 bila ushindi Ligi Kuu Bara, huku kocha Mohammed Muya akisema haikuwa rahisi kwani...

  5. Orodha ya kampuni bora za kubeti mtandaoni

    Tasnia ya michezo ya kubeti imekuwa ikukua kwa siku hadi siku ikiwavutia watu wengi hasa vijana. Kwa Tanzania serikali imekuwa ikiingiza mapato kupitia kodi mbali mbali .

  6. Mgunda alia na Yona Amos

    KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema kipigo cha bao 1-0 ilichopewa timu hiyo ugenini na Pamba Jiji kimewashtua, kwani hawakutarajia huku akimtaja kipa Yona Amos aliyechangia kuziacha pointi...

  7. Magwiji Man United watofautiana kuhusu Carrick

    MJADALA kuhusu mustakabali wa Michael Carrick huko Manchester United unaendelea. Kiungo huyo wa zamani wa Mashetani Wekundu aliteuliwa mwezi uliopita kuchukua nafasi ya Ruben Amorim kama kocha wa...

  8. Salah kuchukua nafasi ya Benzema Al-Ittihad

    BAADA ya kuachana na Karim Benzema aliyetimkia Al Hilal, sasa Al Ittihad imeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah (33) katika dirisha lijalo...

  9. Sesko alivyoiokoa Man United dakika za jioni

    Benjamin Sesko ameibuka shujaa wa Manchester United usiku wa jana baada ya kufunga bao la kusawazisha katika dakika za majeruhi na kuiokoa timu yake ambayo ilionekana ipo hatarini kupoteza mchezo...

  10. Mastaa NBA walivyobadili timu usajili ukifungwa

    DIRISHA la mwisho la usajili wa wachezaji la 2026 lilifungwa wiki iliyopita, huku timu 27 kati ya 30 za ligi hiyo zikifanya biashara (trades) katika wiki ya mwisho. Hizi hapa baadhi ya takwimu...

    NBA Pict
Previous

Page 211 of 853

Next