Phillipe Kinzumbi aibua vita mpya YULE winga Phillipe Kinzumbi amekuwa akiwaniwa na Yanga kabla ya dili kukwama, ameibua mapya kule DR Congo akikaribia kuziingiza katika mgogoro Raja Athletic ya Morocco dhidi ya klabu yake ya TP...
Camara aanza na jezi ya Manula Kwa Mkapa KOCHA Miguel Gamondi ameanza na kikosi chenye sura tatu mpya tofauti, huku kocha wa Simba Fadlu Davids akiwa na nyota sita kati ya 13 waliosajiliwa hivi karibuni, lakini sapraizi ni kipa Moussa...
Gor Mahia yapindua meza, sasa uso kwa uso na Al Ahly MABINGWA wa soka wa Kenya, Gor Mahia wamefanya kile ambacho mashabiki walikitarajia baada ya kuifumua Al Merrikh Bentiu ya Sudan Kusini kwa mabao 5-1 na kusonga mbele katika michuano ya Ligi ya...
Sven-Goran Eriksson afariki dunia siku sita baada ya kuaga Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Mancheter City Sven-Goran Eriksson, amefariki dunia akiwa na miaka 76.
TFF yamrudisha Awesu KMC, Simba yakwepa rungu Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa kiungo Awesu Awesu kuwa ni mchezaji halali wa KMC hivyo anapaswa kurejea klabuni kwake.
Saido aitwa fasta Yanga STAA mpya wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza atakanyaga kwenye ardhi ya Dar es Salaam kesho saa 3:40 usiku tayari kuanza kazi Jangwani.
Zidane ang'oka Real Madrid Zinedine Zidane amejiuzulu kazi ya ukocha wa Real Madrid, kwa mujibu wa vyombo vya habari, baada ya kuvuliwa ubingwa wa soka wa Hispania na Atletico Madrid.
Lunyamila aanza kuzungumza HALI ya winga wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Edibily Lunyamila, inaendelea kuimarika baada ya kuanza kuzungumza kwa kifupi na watu wanaomtembelea kumjulia hali katika Hospitali ya Mwanyamala,...
Kocha Yanga auziwa mbuzi kwenye gunia KWA Kiswahili cha uswahilini, unaweza kusema Kocha wa Yanga ameuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kocha wa Rwanda majaribuni Dar KOCHA wa Rwanda, Sellas Tetteh hana wasiwasi na kikosi chake lakini ametua Dar es Salaam na kikosi cha wanaume 18 akiamini kuwa mshambuliaji Mrisho Ngassa wa Taifa Stars ni majeruhi na hatacheza...