Petit: Mbappe hakutakiwa Madrid MCHEZAJI wa zamani wa Ufaransa, Emmanuel Petit anadai Carlo Ancelotti na baadhi ya wachezaji wa Real Madrid hawakutaka kuona Kylian Mbappe anasajiliwa dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu.
Polisi Thailand avaa jezi ya Liverpool amkamate muhalifu WANASEMA tembea uyaone. Ndiyo hivyo, polisi wa upepelezi Thailand walivaa jezi za Liverpool kwa ajili ya tukio la kumkamata shabiki wa Newcastle United aliyedaiwa kuhusika na biashara ya dawa za...
Mwambusi ashtukia jambo Coastal Union KOCHA wa Costal Union ya Tanga, Juma Mwambusi, ameshtukia kitu ndani ya timu hiyo huku akijipanga kukomaa na safu yake ya ulinzi iliyoonyesha dosari kubwa huku zikisalia mechi saba kumaliza msimu...
Kocha Liverpool awaonya mastaa wake KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amewatahadharisha wachezaji wake kwamba milele wataandamwa na kuimbwa ikiwa watashindwa kushinda taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Boss Chelsea afunguka timu hiyo kuhama Stamford Bridge BILIONEA mmiliki wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amethibitisha klabu hiyo itaondoka Stamford Bridge na kuhamia kwenye uwanja mpya.
Onana, Ederson kuziingiza vitani Man United, Man City MANCHESTER UNITED wako tayari kumuuza kipa wao namba moja Andre Onana kwenda Saudi Arabia katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika mpango wa kocha wao Ruben Amorim kusuka upya...
Mpo? Gyokeres bei yake imeshuka huko STRAIKA Victor Gyokeres amefikia makubaliano na klabu yake ya Sporting CP juu ya kuachana na timu hiyo dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huku bei yake ikishuka chini ya Pauni 60...
Hansi Flick kubadili falsafa Barcelona KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick anaonekana kubadilisha falsafa ya timu hiyo kutoka kumiliki mpira muda wote hadi kupenda kujilinda zaidi baada ya yeye mwenyewe kukiri safu yake ya ulinzi ndio...
Hatma ya Sancho, Chelsea iko hivi KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca alitoa taarifa kuhusu mustakabali wa Jadon Sancho baada ya mchezaji huyo kufunga bao la kusawazisha kwa Chelsea dhidi ya Ipswich Town.
Rekodi mbaya zaiandama Man United BAADA ya kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wolves wikiendi iliyopita, Manchester United imeendelea kuweka rekodi mbaya msimu huu ikiwa ni mara ya kwanza kupoteza mechi 15 katika msimu mmoja baada ya...