Manchester United kupasuka mamilioni kisa mastaa wake MANCHESTER United ipo katika hatari ya kutumia mamilioni kwa msimu ujao ili kuwaondoa katika timu wachezaji ambao haiwahitaji.
Amorim ataka aletewe msaidizi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amewaomba mabosi kufanya kila wanaloweza ili kumletea msaidizi wake wa zamani Acacio Valentim wapige mzigo Old Trafford.
Inachokifanya Barcelona ni kama Yanga WAKATI Tanzania Yanga ikidaiwa kufikia makubaliano ya kumsajili Mohame Hussein Tshabalala kutoka kwa majirani zao Simba, kule Hispania mambo pia yapo hivi baada ya Barcelona kuripotiwa inataka...
Madueke: Muda wa mataji umefika STAA Noni Madueke amekamilisha dili lake la kujiunga na Arsenal na hakutaka kuchukua muda kuwaambia mashabiki wa timu hiyo: “Sasa ni muda wa mataji.”
Liverpool yaendelea kushusha vyuma LIVERPOOL iko mbioni kumsajili nyota wa Paris Saint-Germain, Bradley Barcola ikiwa ni mwendelezo wa kutumia bajeti ya zaidi ya Pauni 300 milioni katika dirisha hili.
Arsenal yakoleza moto kwa Gyokeres ARSENAL imeripotiwa kukoleza moto kunasa saini ya straika Viktor Gyokeres kutoka Sporting CP kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Man united, Arsenal zamtia wazimu Gyokeres VIKTOR Gyokeres ametishia kuingia kwenye mgomo ili kulazimisha kuuzwa dirisha hili la majira ya kiangazi, imeelezwa.
Rayan Cherki afichua usajili wa Chelsea STAA mpya wa Manchester City, Rayan Cherki amefichua usajili mpya utakaofanywa Chelsea kwenye dirisha hili kwamba watatua Lyon kwenda kunasa huduma ya mchezaji mwenzake wa zamani, Malick Fofana.
Slot hataki kushangilia KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesisitiza timu yake haitobweteka licha ya kuongoza ligi kwani wanaamini Manchester City wanawawinda kimya kimya.
Ben White kukaa nje kwa miezi kadhaa KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ameweka wazi beki wao, Ben White atakuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kutokana na majeraha.