Bei anayouzwa Rashford imetajwa MANCHESTER United imetaja bei anayouzwa winga Marcus Rashford na timu itakayohitaji huduma ya staa huyo dirisha lijalo la usajili itapaswa kulipa Pauni 40 milioni.
Amorim ataka beki wa kati Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema timu hiyo italazimika kuingia sokoni dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kusajili beki wa kati.
Ancelotti, Brazil mambo yameiva SHIRIKISHO la soka la Brazil linaripotiwa kuwa na imani kubwa ya kumpata kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kuelekea michuano ya Kombe la Dunia kwa Klabu.
Ancelotti, Real Madrid siku zinahesabika, asubiriwa Brazil Vyanzo vinasema kuwa kocha huyo anatakiwa na timu ya Taifa ya Brazil na ataanza kazi yake mwishoni mwa msimu huu akiwa anatakiwa kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye fainali zijazo za...
Duh! Mastaa kumi waomba sub KOCHA wa Juventus, Igor Tudor amefichua kwamba wachezaji 10 walimwomba kutoka uwanjani katika mechi yao ya kipigo kutoka kwa Real Madrid kwenye kipute cha hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la...
Alisson aondolewa mtu wake Anfield KIPA, Alisson ameripotiwa kukuna kichwa kwa sasa huko Liverpool akiwaza itakuwaje baada ya kudaiwa kuwapo na mabadiliko makubwa kwenye idara ya makipa ya klabu hiyo.
Musiala amkosesha raha Donnarumma KIPA namba moja wa Paris Saint-Germain, Gianluigi Donnarumma ameangukia kilio uwanjani baada ya kuumizwa na kitendo cha kuhusika kwenye tukio la kuvunjika mguu Jamal Musiala.
Onana aharibu hesabu mapema MANCHESTER United imepata pigo kubwa baada ya kipa Andre Onana kupata maumivu ya misuli ya paja itakayomfanya akosekane kwenye ziara ya pre-season ya miamba hiyo.
Aslay hataki kushobokea tena WALIOSEMA aisifiaye mvua imemnyeshea, wala hakukosea baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyeibuliwa na Kituo cha Mkubwa na Wanae kisha kutamba na Yamoto Band, Aslay kufichua jambo...
Billnass ajilipua ishu ya afya ya akili MSANII maarufu wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘BillNass’ ameshindwa kujizuia na kujilipua kuhusu ishu ya tatizo la afya ya akili kwa kuwataka vijana wadogo wenye vipaji wanaotamani kuingia kwenye...