Simba Queens nayo ina historia tamu michuano hii ambayo imeanza kuwa gumzo nchini. Baada ya hapo kijiti cha ubingwa kilitua JKT Queens, ambao ilishinda kombe hilo mara mbili mfululizo kuanzia msimu wa 2017/18 na 2018/19.
Simba, Yanga zubaa upigwe, Sasa itakuwaje! Manzoki (25) ambaye hata hivyo usajili wake umekwama kwa sasa hdi Desemba, Augustine Okrah (28), Pape Sakho (25), Jimmyson Mwanuke (23), Habib Kiyombo (21) na John Bocco (33). Yanga yenyewe, safu...
JICHO LA MWEWE: Novatus ameliheshimisha eneo la kina Hamis Gaga ZAMANI niliwahi kuandika mahali kwamba mchezaji wa kwanza wa Tanzania kutamba Ulaya atakuwa anatokea katika eneo la ushambuliaji. Zilikuwa ni hesabu nyepesi. Hakuna eneo ambalo ni rahisi kuhesabu...
Mshery mtegoni kuivaa Mtibwa leo KIPA namba mbili wa Yanga, Abutwalib Mshery atakuwa langoni kukabiliana na waajili wake wa zamani Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi.
Wanne Yanga wapewa Coastal Union WACHEZAJI wanne wa Yanga, Aboutwalib Msheri, Farid Mussa, Jesus Moloko na Chico Ushindi wamepewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga kitakachoingia Uwanja wa Benjamin Mkapa...
Kim abadili watatu Stars kuivaa Algeria mawinga. Benchi wapo Metacha Mnata, Aboutwalib Mshery,Lusajo Mwaikenda, Kennedy Juma, Salum Abubakar, Kibu Denis, Farid Mussa, George Mpole, Ben Starkie, Joshua Ibrahim, Kelvin John...
Kimwaga: Lile bao la Yanga nyie acheni tu! na kuongeza; “Niliingia dakika ya 75 nikafunga bao la ushindi lililofanya Azam FC tushinde mabao 3-2 dhidi ya Yanga na ndio mwaka tuliochukua ubingwa. Anasema kocha Hall hakuwaamini vijana, hivyo...
Stars jeshi kamili (Maccabi Telaviv), Ben Starkie (Spalding United), Haji Mnonga (Weymouth Fc) na Ibrahim Joshua (Tusker). Upande wa wachezaji wanaocheza ndani ya nchi ni wachezaji wa Yanga, Abuutwalib...
Nabi awatanguliza Mayele, Makambo ,Yannick Bangala,Feisal Salum na Salum Aboubakar 'Sure boy. Yanga ambao watacheza mfumo wa 4-4-2 wamewatanguliza washambuliaji Mayele na Makambo katika kusaka mabao. Kwenye benchi Yanga...
Bahati abadilisha watatu Biashara United leo ni Ibrahim Ndunguri, Ambrose Awiyo na Salum Kipaga huku kipa namba moja, James Ssetuba na Deogratias Mafie wakiendelea kukosekana kutokana na majeraha. Kikosi kitakachoanza leo dhidi ya...