Julio aanza na ushindi Singida, Kayoko atembeza kadi Kirumba Kibarua cha Julio katika kikosi cha Singida Fountain Gate ni kuvuna pointi 30 katika mechi 10 ambazo wenyewe wameziita ‘Agenda 10 za Julio’ na leo ameanza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...
Pamba inaitaka Ligi Kuu, Chanongo atakata Kirumba Mwanza. PAMBA Jiji imeendelea kuonyesha kweli inataka kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya jioni ya leo Ijumaa kuifumua Mbeya City kwa mabao 3-0 katika mechi ya Ligi ya Champioship, huku...
Kagere kuikosa Singida, Nsajigwa amhofia Julio KOCHA msaidizi wa Namungo, Shadrack Nsajigwa amesema mabadiliko ya benchi la ufundi la Singida Fountain Gate kwa kumleta kocha mpya, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ yataleta ugumu katika mchezo wa kesho...
Singida yasaka ushindi wa kwanza Kirumba KESHO Singida Fountain Gate itacheza mchezo wake wa tatu wa Ligi Kuu katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa ikisaka ushindi wa kwanza itakapoialika Namungo kuanzia saa 10:00 jioni. Tangu...
Mtambo wa mabao warejesha mzuka Geita BAADA ya kurejea kutoka Sweden kwenye majaribio, mshambuliaji wa Geita Gold, Valentino Mashaka aliibeba timu yake kwa kuifungia bao muhimu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji. Ushindi huo...
Pamba Jiji mambo freshi Championship BAADA ya kuwakata stimu mashabiki katika mechi iliyopita ya Ligi ya Championship, mchana wa leo Pamba Jiji imerejesha furaha jijini Mwanza kwa kuinyoosha Ruvu Shooting kwa mabao 3-1 na kupaa hadi...
Rock Solution yaanza kibabe Ligi ya Mikoa LIGI ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) Tanzania Bara, imeanza leo katika mikoa minne, huku katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza wenyeji Rock Solution wakianza vyema kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
Mtibwa Sugar yazindukia jijini Mwanza BAADA ya kucheza mechi zaidi ya saba bila kupata ushindi, hatimaye leo jioni Mtibwa Sugar imezindukia ikiwa jijini Mwanza kwa kuinyoosha Singida Fountain Gate kwa mabao 2-0 katika pambano la Ligi...
Pamba yajikwaa Championship Mwanza. PAMBA Jiji imejitibulia kwenye kampeni ya kupanda daraja baada ya leo kulazimishwa suluhu nyumbani huku ikiwapa nafasi washindani wake, Ken Gold na Biashara United kuongeza pengo la...
Kadi nyekundu zamponza refa KADI mbili nyekundu alizotoa mwamuzi Gabriel Masimbazi zilimweka matatani akijikuta akiwambwa makofi na mchezaji Joseph Isco aliyekuwa akiichezea Dortmund wakati wa mechi baina yao dhidi ya Bilo...