Search

1142 results for Ramadhan Elias :

  1. Simba, Yanga... Karata ya maamuzi

    Usiku wa leo timu za Simba na Yanga kutoka Tanzania zitakuwa na kibarua kizito katika mechi mbili tofauti ambazo zitaamua hatima ya kuendelea kusalia kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu huu...

  2. Utamu upo Kwa Mkapa

    WAKATI Simba ikiwa imeshamalizana na Al Ahly ya Misri katika mechi iliyopigwa jana usiku, leo ni zamu ya Yanga itakayoshuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuvaana na Mamelodi ya Sundowns ya...

  3. Afrika yote ipo Dar es Salaam

    KUNA mechi tatu leo za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Lakini Afrika yote macho na masikio yapo Dar es Salaam kwa Yanga na Mamelodi Sundowns katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa...

  4. Al Ahly yaitibulia Simba Kwa Mkapa

    SIMBA ina dakika 90 za kutimiza ndoto za kurudia rekodi ya kufika nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya marudiano ya robo fainali baada ya...

  5. Benchikha afumua kikosi, Kibu apewa msala

    SIMBA chini ya kocha mkuu, Abdelhack Benchikha tayari imeweka wazi kikosi kitakachoikabili Al Ahly kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika itakayopigwa kuanzia saa 3:00 usiku, Uwanja...

  6. Simba, Al Ahly mwendo wa noti tu

    SIMBA inashuka uwanjani leo usiku kuvaana na Al Ahly katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa Mkapa, kabla ya kesho watani wao, Yanga kuikaribisha Mamelodi Sundowns, huku mechi zote...

  7. Mastaa 20 Simba tayari kuivaa Ahly

    Nyota, Mzambia Clatous Chama, Mrundi Saidi Ntibanzokiza 'Saido', na Watanzania Kibu Denis, Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' na Kennedy Juma waliokuwa kwenye timu zao za taifa wamefanya mazoezi hayo...

  8. Matampi: Bingwa CAF anayekiwasha Coastal Union

    Matampi hadi sasa ana jumla ya clean sheets 10 katika mechi 21 za ligi ilizocheza Coastal hadi sasa chini yake akiwepo Djigui Diarra wa Yanga mwenye nane kisha Costantine Deusdedith wa Geita Gold...

    New Content Item (1)
  9. Matola: Tutawakimbiza Al Ahly kwa dakika 90

    SIMBA imerejea Dar es Salaam leo ikitokea Zanzibar kwa ajili ya mechi ya kwanza ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri itakayopigwa Ijumaa wiki hii. Mechi hiyo itaanza...

  10. Simba yatisha, Yanga yaangukia pua

    TIMU nane za vijana kutoka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimetinga hatua ya nane bora ya mashindano ya vikosi vya vijana wasiozidi umri wa miaka 20 huku Yanga na bingwa mtetezi, Mtibwa Sugar...

Previous

Page 3 of 115

Next