Magoti, janga linalotishia soka la wanawake Tanzania DIRA ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ni kuhakikisha inatengeneza mifumo ya kuvutia zaidi ya wanasoka wa kike milioni moja kucheza katika ligi za ngazi mbalimbali hapa nchini.
SPOTI DOKTA: Kwa nini mabasi ya timu hupata ajali? FEBRUARI 10, mwaka huu, medani ya soka ilipata mshtuko baada ya Dodoma Jiji kupata ajali barabarani ikitokea Lindi ilikoenda kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wake, Namungo na...
SPOTI DOKTA: Shabiki jikinge na kiribatumbo KATIKA Ligi Kuu Bara kwenye mechi za wiki hii ilishuhudia Yanga na JKT Tanzania zikitoka 0-0. Na juzi Jumanne, Simba nayo ilicheza ikifanikiwa kuibamiza Tanzania Prisons mabao 3-0 na kukaa...
Mchezaji anahitaji kuwa na vitu hivi JUMAPILI ilikuwa burudani kwa wapenzi wa soka waliposhuhudia mechi kali ya Ligi Kuu England wakati Arsenal ikiifunga Manchester City mabao 5-1.
SPOTI DOKTA: Madhara kucheza kandanda na maumivu iko hivi KATIKA mapito ya mwanasoka kuna nyakati za furaha na nyakati ngumu. Moja ya nyakati ngumu ni pale mchezaji anapopata majeraha yanayoambatana maumivu na huku anahitajika na timu.
SPOTI DOKTA:Talaka ilivyomuumiza kihisia Pep Guardiola MANCHESTER City msimu huu imekuwa ikipitia wakati mgumu kutokana kufanya vibaya katika mechi za awali za Ligi Kuu England (EPL) na Ligi ya Mabingwa Ulaya.
SPOTI DOKTA: Wanasoka kujifua ufukweni iko hivi JIONI na usiku wa Jumapili mambo yalikuwa mazuri sana kwa wadau wa soka ndani na nje ya Tanzania. Timu ya Simba ilipata sare ya 1-1 katika mechi yake dhidi ya Bravos Do Maquis na kufuzu robo...
SPOTI DOKTA: Kimbia, fanya mazoezi ya viungo WIKI iliyopita tuliukaribisha mwaka 2025 kwa kusisitiza kuwekeza katika zoezi la ukimbiaji ili kujenga mwili wenye afya njema
2025 wekeza katika ukimbiaji HERI ya Mwaka Mpya 2025 wasomaji wote wa gazeti la Mwanaspoti katika kona ya Mwanaspoti Dokta. Leo jicho la kitabibu linakupa ufahamu kuhusu uwekezaji katika ukimbiaji ili kujenga afya.