Siku ya hukumu, Droo hatua ya 16 UEFA kufanyika leo MACHO na masikio yote leo yanageuzwa kule kwa jijini Nyon, Uswisi ambako droo ya hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakuwa inachezeshwa.
Geay, Dinday warejea kutoka Daegu Marathon WANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay, Emmanuel Dinday na Benard Geay, wamerejea nchini wakitokea Korea Kusini walikoshiriki mashindano ya Daegu Marathon yaliyofanyika Februari...
Kamati ya utendaji RMFF kuamua mrithi wa Walid Regragui KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka la Morocco (RMFF), inatarajia kukutana leo Alhamisi ili kuamua mustakabali wa benchi la ufundi la timu ya taifa hilo ambalo mara ya mwisho lilipoteza...
Barcelona ina jambo na Haaland BAECELONA imesisitiza kwamba ina fedha za kutosha kuwasilisha ofa kwenda Manchester City kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Norway, Erling Haaland, endapo...
Ruben Amorim aitwa Brazil VIGOGO wa soka nchini Brazil, Vasco da Gama, wanaripotiwa kuwa katika mazungumzo na kocha Ruben Amorim ili kumwajiri awe kocha wao mpya.
Wakala wa Wirtz atoa kauli nziti kumuhusu Xabi Alonso WAKALA wa kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Florian Wirtz, Volker Struth, ametoa kauli nzito kuhusu kocha Xabi Alonso alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari vya Ujerumani.
Noti zamwagika Man United HATUA kali za kupunguza gharama za matumizi zilizoanzishwa na tajiri wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe zimezaa matunda makubwa na kuzalisha faida katika kikosi cha mashetani wekundu.
Kundemba, Vuga ngoma droo Masauni & Seif Cup TIMU za Kundemba na Vuga zimeanza kwa suluhu katika mechi ya uzinduzi wa michuano maalumu ya Masauni & Seif Cup iliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, mjini Unguja, ikishirikisha jumla...