Mashine ya mabao yatua Liverpool LIVERPOOL imemnasa staa wao wa Pauni 79 milioni, straika Hugo Ekitike ikinyakua saini yake kutoka kwenye klabu ya Eintracht Frankfurt.
Ishu ya Son ipo hivi Spurs TOTTENHAM Hotspur inapiga hesabu za kukubali ofa ya Pauni 15 milioni kwa ajili ya kumpiga bei nahodha wao Son Heung-min baada ya staa huyo kuwindwa na miamba ya Marekani, LAFC.
Mourinho awapiga kijembe Chelsea JOSE Mourinho ameipiga kijembe Chelsea kwamba kushinda ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu ni muhimu kwao, lakini upande wake alitazama michuano hiyo kama vile ambavyo mara zote amekuwa akienda...
Alexander Isak aachwa safari ya Singapore STRAIKA, Alexander Isak amepigwa chini kwenye kikosi cha Newcastle United kilichosafiri kwenda Singapore kwenye ziara yao ya mechi za pre-season.
Rashford aibua wasiwasi Barca SUPASTAA, Marcus Rashford huenda akashindwa kuichezea Barcelona hata baada ya kujiunga na miamba hiyo ya LaLiga.
Rashford ana masharti 10 Barcelona SUPASTAA, Marcus Rashford anakaribia kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Barcelona lakini ili kwenda kufanikiwa huko, itamlazimu kufuata sheria hizi 10.
Arteta afunguka kipigo cha Spurs KOCHA, Mikel Arteta amesema kichapo ilichokipata kutoka kwa mahasimu wao Tottenham Hotspur kwenye mechi ya kirafiki huko Hong Kong kinawaamsha kwamba wanapaswa kuongeza nguvu kwenye maandalizi...
Chelsea yasajili mabeki Pauni 360m KUWASILI Kwa Jorrel Hato kwa ada ya Pauni 37 milioni kwenye kikosi cha Chelsea kimefanya miamba hiyo ya Stamford Bridge kuweka rekodi ya kutumia Pauni 360 milioni kusajili mabeki chini ya mmiliki...
Thoms Partey ana dili mezani ALIYEKUWA kiungo wa Arsenal, Thomas Partey yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha dili lake la kujiunga na Villarreal, imeelezwa.
Shearer: Isak? Kama vipi aende GWIJI wa Newcastle United, Alan Shearer ameonyesha hasira zake juu ya mpango wa Liverpool kumsajili Alexander Isak baada ya kuchati kwenye grupu la WhatsApp ambalo yupo pia Gary Lineker.