Kylian Mbappe ajifunza udereva SUPASTAA Kylian Mbappe ameonekana akipata mafunzo ya kuendesha gari katika shule ya mafunzo ya magari ya jirani huko Hispania.
Darwin Nunez anukia Chelsea, Newcastle pia ipo CHELSEA imeingia katika vita ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Al-Hilal ya Saudi Arabia na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, 26, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Carrick anasumbua vichwa Man United MICHAEL Carrick amejiandikisha jina lake katika vitabu vya historia vya Ligi Kuu England na kwa kufanya hivyo amewapa mabosi wa Manchester United presha kubwa juu ya kufanya uamuzi, apewe timu...
Uwanja wa Mkapa kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027 SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya...
Premier League yajishtukia, yafuta ujumbe wa kuikebehi Spurs UONGOZI wa Ligi Kuu ya England, umelazimika kufuta ujumbe katika mitandao ya kijamii ulioonekana kuifanyia dhihaka klabu ya Tottenham Hotspur baada ya kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Fulham, jana...
DJ Khaled anazidi kuukunja tu mkwanja WIKI iliyopita, msanii H Khaled Mohammed Khaled ‘DJ Khaled’ aliachia biadhaa yake ya shampoo ambayo ina uwezo wa kubadilisha nywele rangi kwa watumiaji.
Vigogo kibao wanamtaka Nicolas Taarifa zinaeleza Villa inapanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa England, Ollie Watkins, 30, mwisho wa msimu huu, hivyo inatafuta mbadala mapema.
Iran hatarini kushiriki Kombe la Dunia 2026, FIFA yatoa tamko NCHI ya Iran huenda ikajiondoa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani yaliyomuua kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.
Hali ya kiusalama Mashariki ya Kati yatishia mechi za Nigeria kufutwa MECHI za kimataifa za kirafiki kati ya timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles dhidi ya Iran na Jordan zilizopangwa kuchezwa mwezi huu, huenda zikafutwa kutokana na hali mbaya ya kiusalama...