MZEE WA UPUPU: Yanga na kishindo cha Italia KAMA kuna msimu ambao Yanga imetawala soka la Tanzania basi ni huu wa 2022/23. Ubingwa wa Ligi Kuu kibindoni tayari huku ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Afrika ukisubiri. Yanga wako fainali ya...
MTU WA MPIRA: Nabi ni kocha bora zaidi kuwahi kutokea Yanga? YANGA ipo kwenye kilele cha mafanikio. Imebeba taji la Ligi Kuu Bara ikiwa na michezo miwili mkononi. Imebeba taji hilo kwa mara ya pili mfululizo. Hilo ni taji la 29 kwa timu hiyo tangu ligi...
MTU WA MPIRA: Tumemsahau kabisa Himid Mao wetu ACHANA na Mbwana Samatta. Mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya soka letu. Samatta ameweka historia kubwa nchini. Tangu alipoondoka Simba mwaka 2011 mpaka leo hajarudi. Ni miaka...
MZEE WA UPUPU: ASFC inakua, lakini maandalizi yanadumaa . Mikoa inayopata nafasi ya kuandaa mechi hizi iimeshindwa kufanya maandalizi yanayostahili ukubwa wa mchezo huu. Kwenye mechi ya Azam FC na Simba, hadi siku moja kabla ya mchezo uwanja ulikuwa...
MTU WA MPIRA: Tusiibeze Simba kwa nusu fainali ya Yanga CAF YANGA imefuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mafanikio makubwa na historia kwa timu na nchi kwa ujumla. Huwa inatokea mara chache. Hakuna mtu aliyeipa Yanga nafasi ya kufanya...
Ngassa: Pale Simba wamepigwa Salaam ambapo vijana 30 ni wale wa umri chini ya miaka 17 (U-17) na U-20 wakati vijana 50 wana umri kati ya miaka 10 na 15. Wengi watakuwa walimuona Ngasa alipokuwa akicheza ingawa baadhi yao...
Kwa Mkapa patanoga KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi kamati maalum yakukagua maandalizi ya michuano ya Super 8 ya CAF, itakayozihusisha klabu kubwa zinazofanya vizuri Afrika na zenye mashabiku wengi, ikiwemo...
MAKALA MAALUM ANGUKO LA TP MAZEMBE: Mihela yamwagwa kwa mastaa -4 Katika toleo lililopita tuliona jinsi hali ilivyoanza kubadilika ndani ya klabu ya TP Mazembe lakini ghafla siasa za nchi zikaharibu mambo. Katika toleo hili tutaona kilichofuata baada ya pale.
Kwa Mkapa kisasa zaidi, kuanza kuboresha haya... . Hii itakuwa ni historia kwa Simba SC kwa kuwa itakuwa kati ya timu nane Afrika nzima ambayo imepewa nafasi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa ambayo inasimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika Caf...
MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe -3 KATIKA sehemu iliyopita tuliona ni namna gani siasa za nchi, kukosa udhamini na siasa za ndani za klabu ziliposababisha anguko la kwanza la TP Mazembe. Katika toleo la leo, tutaona namna ujio wa...