Polisi Kenya yapasuka, ila yasonga mbele MABAO mawili ya Mogadishu City ya Somalia yameweza kuizima Polisi Kenya ikiwa ardhi ya nyumbani, lakini haikuweza kuisaidia kuing'oa katika mechi ya marudiano ya raundi ya jkwanza ya Ligi ya...
Misri yafuzu Kombe la Dunia, Cape Verde yacheleweshwa Misri imejihakikishia tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Djibouti katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Larbi Zaouli...
JKT Queens yaahirisha kambi ya Uturuki, sababu yatajwa OFISA Habari wa JKT Queens, Masau Bwire, amesema klabu hiyo imeahirisha kuweka kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika upande wa wanaawake itakayofanyika...
Barcelona kusafiri umbali wa maili 10,000 BARCELONA inakabiliwa na kasheshe la kusafiri umbali wa karibu maili 10,000 siku chache kabla ya Krismasi kwenda kucheza mechi ya La Liga nje ya Hispania.
Unai Emery aleta janjajanja yake EPL KOCHA Unai Emery amesisitiza Aston Villa haitashindana kuwamo kwenye Top Seven msimu huu, lakini amesisitiza timu yake itajaribu kuzipa wakati mgumu timu zenye bajeti kubwa kwenye usajili.
Kilimanjaro ya Sweden yatwaa ubingwa wa bonanza Ubelgiji TIMU ya soka ya Watanzania, Kilimanjaro iliyopo Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa Kombe la Bonanza la Serengeti katika michuano iliyofanyika kati ya Agosti 15-16 jijini...
Trent aanza kwa mkosi Madrid : BEKI Trent Alexander-Arnold ameanza vibaya maisha kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Real Madrid baada ya kuumia dakika ya tano na kushindwa kuendelea na mchezo.
Partey ashinda kesi ya kubaka KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Thomas Partey hana hatia katika mashtaka yaliyokuwa yakimkabili ya kubaka na kufanya unyanyasaji.
Amorim atoa onyo kali Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim wamewapa onyo wachezaji wake licha ya kuibuka na ushindi dhidi ya Chelsea wikindi iliyopita.
Man United ilivyomkosa Donnarumma Dirisha lililopita la usajili wa majira ya kiangazi, Manchester United ilikuwa miongoni mwa timu za mwisho kufanya usajili na ilimtoa kwa mkopo Andre Onana kwenda Trabzanspor kisha ikamsajili...