Wasaudia wanavyoteketeza mkwanja juu ya kichwa cha Silva
MWISHONI mwa wiki iliyopita, jina la Bernardo Silva lilitajwa sana akihusishwa na mpango wa kutaka kuondoka Manchester City, huku ripoti zikidai anaweza kwenda Italia, Hispania au Saudi Arabia.