Mabingwa Ulaya... Ukizubaa unaachwa HALI ni tete katika kuelekea siku ya mwisho inayotarajiwa kuwa ya kusisimua sana katika hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku timu 30 bado zikisubiri kuamua hatima zao. Shughuli hiyo pevu...
Wachambuzi wanavyoichambua Arsenal MPANGILIO wa timu ya Arsenal chini ya Mikel Arteta umekosolewa vikali baada ya kikosi hicho kupoteza dhidi ya Manchester United kwenye mchakamchaka wa Ligi Kuu England kipute kilichopigwa...
Trent Alexander-Arnold aingia anga za Man City MANCHESTER City inaendelea kumfuatilia kwa karibu beki wa kulia wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Trent Alexander-Arnold, 27.
Cunha ajiweka hatarini kufungiwa STAA wa Manchester United, Matheus Cunha, huenda akakumbana na adhabu ya kufungiwa baada ya kutumia maneno yasiyofaa wakati aliposhangilia bao lake. Mshambuliaji huyo alifunga bao la kushangaza...
Ouma aiona robo fainali Shirikisho BAADA ya kuambulia pointi tatu nyumbani dhidi ya AS Otoho, Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema anaiona nafasi ya timu hiyo kuendelea kuandika historia kwa kutinga hatua ya robo...
Chikola afunguka kutua Singida Black Stars UONGOZI wa Yanga umemtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Offen Chikola kwenda Singida Black Stars, huku mwenyewe akisema hiyo kwake ni sehemu ya kumjenga zaidi.
Liverpool yafikiria kumpa kazi Xabi Alonso LIVERPOOL inaripotiwa kuanza mawasiliano na Xabi Alonso kuhusu uwezekano wa kwenda kuchukua nafasi ya Kocha wa Anfield, Arne Slot na inadaiwa Mhispaniola huyo ameonyesha nia ya kukubali kibarua...
Guardiola asababisha hofu kubwa Man City RIPOTI zinafichua watu wa ndani wa Manchester City wameanza kupata hofu juu ya uwezekano wa Pep Guardiola kuondoka kwenye kikosi hicho kuliko hata hukumu ya mashtaka 115 yanayowakabili kwenye...