Ahmed: Tutamsaidia Saido abebe kiatu Baada ya kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza kumsogelea kwa ufungaji mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 na yeye 15, uongozi wa Simba umetoa neno. Simba jana Juni 6 ilishinda...
Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi...
Kanali Bakari atunukiwa nishani ya michezo Russia Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunuku nishani kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa Kanali Joseph Bakari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini Urusi.
Simba: Kuna Sapraizi pale nyuma LEO Ijumaa, Simba itakuwa Uwanja wa Mohammed V, nchini Morocco kuanzia saa 4:00 usiku ikicheza mechi ya mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad AC huku kukiwa na...
PRIME Mosimane: Nabi apewe timu, ila... Kocha mpya wa Al Wahda ya Falme za Kiarabu (UAE), Pitso Mosimane amesema Nasreddine Nabi ana vigezo vyote kuwa kocha wa Kaizer Chiefs. Mosimane ameyasema hayo akiwa nchini Afrika Kusini...
Mo Dewji: Hans Poppe ulikuwa wa kwanza na ulinyooka linapokuja suala la kuilinda Simba Kufuatia kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans Poppe, Mohammed Dewji ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo ameandika haya; "Moyo wangu una maumivu makali sana. Bado ni...
#TBT ZILITRENDI: Micho awatimua makomandoo Yanga KAMA kawaida tunaendelea na zile zilizotrendi miaka ya nyuma na leo tunaenda hadi Machi 3, lakini mwaka 2007.
Kisa Yanga, Dodoma Jiji yawekewa Sh30 milioni mezani UONGOZI wa Dodoma Jiji umeendelea kuweka mkazo kwenye mechi zao baada ya kutangaza dau la Sh30 milioni iwapo watatoka na ushindi kwenye mchezo wao wa Ligi dhidi ya Yanga. Dodoma Jiji na Yanga...
Kipigo cha 5-1 Dar chawaamsha Platinum KIPA wa FC Platinum ambaye pia ni nahodha, Petros Mhari amesisitiza kwamba kamwe hawawezi kurudia makosa kama ya kipindi cha pili waliyofanya dhidi ya Yanga mwaka 2015 kwenye meci ya Kombe la...
Diamond, Harmonize wamvuta Superstar M.E Tanzania Mkali wa Afropop kutoka nchini Afrika Kusini, Uwakina Emmanuel maarufu Superstar M.E anayetamba na wimbo wa Oginig amesema katika ziara yake ya kimuziki bara la Afrika atakanyaga ardhi ya...