Kompyuta imesema... Spurs haishuki daraja EPL MATUMANI ya Tottenham Hotspur kusalia katika Ligi Kuu England msimu huu yapo shakani, huku kompyuta ya utabiri (supercomputer) ikitoa tathmini kuhusu hofu ya kushuka daraja kwa kikosi hicho baada...
Miaka tisa ya dhahabu kwa Mo Salah Liverpool “KAMA hujafanikiwa mwanzo, jaribu tena na tena.” Kauli hiyo maarufu imekuwa kiini cha taaluma ya Mohamed Salah na pia safari yake akiwa Liverpool. Salah atahitimisha kipindi chake cha miaka tisa...
Salah atangaza kuondoka Liverpool, atajwa kutua Al Ittihad Mshambualiaji Mohamed Salah (33), leo Jumanne ametangaza rasmi kuwa ataachana na Liverpool baada ya msimu huu kumalizika.
Mayweather vs Pacquiao… Sa’ itakuwaje? KATIKA historia ndefu ya michezo ya ngumi, kumekuwa na mapambano mengi yaliyovutia hisia za mashabiki lakini ni machache ambayo yamefikia kiwango cha kuwa matukio makubwa ya kimataifa...
Enzo kuondoka Chelsea, Real Madrid ikichomoza KIUNGO wa Chelsea na timu ya taifa ya Argentina, Enzo Fernandez anahusishwa kujiunga na Real Madrid baada ya fainali za Kombe la Dunia 2026.
Simu yamponza Depay, mwenyewe afafanua STRAIKA wa Corinthians ya Brazil, Memphis Depay amelazimika kutoa ufafanuzi baada ya kuonekana akitumia simu akiwa benchi baada ya kuambiwa aache kufanya hivyo.
Antoine Griezmann kumfuata Messi MLS MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ufaransa, Antoine Griezmann anatarajiwa kuwa “mpinzani” wa Lionel Messi tena katika Ligi kuu Marekani (Major League Soccer - MLS), jambo linalofufua kumbukumbu za...
Jurgen Klopp akanusha uvumi wa kuinoa Real Madrid KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp amekanusha taarifa za kurejea kufundisha soka zinazomhusisha na Real Madrid, “hazina ukweli wowote.”
Majanga! Majeruhi sita Arsenal wazua hofu BEKI wa Arsenal, Gabriel Magalhaes ameungana na nyota wengine watano wa kikosi hicho waliotemwa na timu zao za taifa kwa kuhofiwa kuwa majeruhi.