Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8488 results for Mwandishi Wetu :

  1. Dar City ilivyopunguzwa kasi Sauzi

    Timu ya kikapu ya Al Ahly Ly kutoka Libya juzi usiku iliipunguza kasi Dar City kwa kuifunga pointi 118-97 katika Ligi ya Kikapu Afrika (BAL), mchezo uliofanyika katika uwanja wa ndani wa Sun Bet...

  2. Mashabiki Spurs wamkataa De Zerbi

    UPINZANI dhidi ya uteuzi wa Roberto De Zerbi kuwa kocha mkuu wa Tottenham Hotspur unaongezeka miongoni mwa makundi rasmi ya mashabiki, kutokana na kauli zake zenye utata alizowahi kutoa kuhusu...

  3. England bila Kane ni majanga

    KOCHA wa England, Thomas Tuchel ameshtukia kitu kwenye kikosi hicho kwa kusema washambuliaji waliopewa nafasi katika mchezo wa mwisho wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Japan ambao hakuwepo Harry...

  4. Kounde, Balde waiwahi Atletico Madrid

    Wachezaji hao ni Jules Kounde, Alejandro Balde na Frenkie de Jong.

  5. Tiger Woods avunja ukimya baada ya ajali na kukamatwa

    MCHEZAJI mashuhuri wa gofu, Tiger Woods amevunja ukimya na kuwaambia mashabiki wake kuwa anapambana kuwa sawa kiafya baada ya ajali ya gari, ambayo ilimsababisha kukamatwa kwa tuhuma za kukiuka...

  6. Dili la Tonali, Manchester United bado lipo hai England

    MANCHESTER United imepata nafuu katika harakati za kumsajili kiungo wa Italia, Sandro Tonali 25, kutoka Newcastle United baada ya kuambiwa timu hiyo itakuwa tayari kuuza baadhi ya wachezaji...

  7. Iraq yafuzu Kombe la Dunia baada ya miaka 40

    Iraq imekuwa timu ya mwisho kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika huko Marekani, Mexico na Canada baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 na dhidi ya Bolivia katika Uwanja wa...

  8. DR Congo kwenye ramani ya soka la Dunia baada ya miongo mitano

    Baada ya kusubiri kwa zaidi ya nusu karne, hatimaye ndoto ya mamilioni ya Wakongo imetimia. Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefanikiwa kufuzu rasmi kushiriki michuano ya...

  9. Messi alivyofunika rekodi ya Pele mipira ya free-kick

    NAHODHA wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi anaendelea kuvunja rekodi mbalimbali na tangu alipoanza soka la ushindani zaidi ya miaka 20 iliyopita tayari keshazivunja zaidi ya 30 za nje na...

    MESSI Pict
  10. Tuchel akwepa mtego Arsenal

    HABARI ndio hiyo. Kocha wa England, Thomas Tuchel amefichua kuwa ruhusa aliyoitoa kwa mastaa wa Arsenal, wakiwemo Bukayo Saka na Declan Rice katika mechi ya kirafiki dhidi ya Japan haikuwa...

Previous

Page 156 of 849

Next