Maurizio Sarri apasuliwa moyo ALIYEKUWA kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri amefanyiwa upasuaji wa moyo huko Rome, Italia baada ya kupimwa na kuonekana upumuaji wake hauko kawaida.
Unai Emery akimbia kipigo kizito Arsenal UNAI Emery ametoweka kwenye benchi lake baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo ambao kikosi chake cha Aston Villa kilikumbana na kipigo kizito kutoka kwa Arsenal.
Rani Khedira kuitumikia Tunisia Kombe la Dunia 2026 KIUNGO wa Union Berlin ya Ujerumani, Rani Khedira, amethibitishwa rasmi kuitumikia timu ya taifa ya Tunisia, baada ya kupewa kibali cha mwisho na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) sambamba...
Bernardo Silva, Man City ndo basi tena KIUNGO na nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva anatarajiwa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kwa uhamisho wa bure, baada ya kudumu kwa miaka tisa katika kikosi hicho.
Simba Vs Dodoma Jiji kupigwa Sheikh Amri Abeid Kabla ya mchezo huo, itacheza na TRA United uwanjani hapo Aprili 9, 2026 na Aprili 15, 2026 itakuwa na mechi nyingine hapo dhidi ya Fointain Gate.
TPLB: TRA United v Simba mtatumia tiketi za awali Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi kuwa mchezo namba saba (7) wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 kati ya TRA United FC na Simba SC utafanyika Aprili 9, 2026 katika Sheikh Amri...
Benfica: Mourinho haendi kokote MABOSI wa Benfica wameendelea kuwa na imani kubwa kuwa kocha wao Jose Mourinho atasalia katika kikosi chao msimu ujao licha ya taarifa zinazodai anaweza kutimkia Real Madrid.
Yanga yamfuta kazi Pedro Goncalves, Moallin kukaimu Dakika chache baada ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, uongozi wa timu hiyo leo Jumatano, Mei 6, 2026 umetangaza kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo, Pedro Goncalves raia wa Ureno.
Aliyesahaulika Man United afika fainali ya tatu ASTON VILLA wamefuzu fainali ya kwanza ya mashindano ya klabu Ulaya baada ya miaka 44 huku kocha Unai Emery akitarajiwa kucheza fainali ya tano ya Europa League katika maisha yake ya ukocha.
Febregas aitega Chelsea akiitaka EPL KOCHA wa Como, Cesc Fabregas ameweka wazi kuwa anatamani siku moja kufundisha katika Ligi Kuu ya England lakini ameonya kuwa hatakubali kazi ambayo hatakuwa na sauti kwenye maamuzi kitu ambacho...