Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9664 results for Mwandishi :

  1. Kocha Zambia aiwahi AFCON baada ya kula msosi wenye sumu

    KOCHA wa Zambia, Moses Sichone, leo Jumatatu atapata fursa ya kukaa benchi na kuiongoza timu yake kwa mara ya kwanza, baada ya kukosa mechi yake ya kwanza mwezi uliopita.

    CHIPOLOPOLO Pict
  2. Neville awataja Arsenal, Man City mbio za ubingwa

    GARY Neville anaamini mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England ni mbio za farasi wawili na hivyo kuwaweka kando Aston Villa kwenye mchakamchaka huo.

    NEVILLE
  3. Isak kukaa nje siku kibao

    STRAIKA wa Liverpool, Alexander Isak anakabiliwa na muda mrefu wa kuwa nje ya uwanja baada ya kuripotiwa kuwa na mpasuko kwenye mfupa wa mguu

    ISAK Pict
  4. Paul Pogba abeba tuzo, amshukuru Ronaldo

    KIUNGO wa Monaco, Paul Pogba amemshukuru sana Cristiano Ronaldo baada ya kupokea tuzo yake ya Best Comeback Award katika sherehe za Globe Soccer Awards 2025 zilizofanyika Dubai, Falme za Kiarabu.

    POGBA Pict
  5. VAR yaivurugia Benin AFCON 2025, yashindwa kufanya kazi

    Mechi ya Kundi C katika Fainali za AFCON 2025 kati ya DR Congo na Benin, iliyochezwa leo Jumanne, Desemba 23, 2025 kwenye Uwanja wa Al Madina nchini Morocco, imebaki na mjadala mkubwa baada ya...

    VAR Pict
  6. Msikieni Guardiola anayesemwa anasepa

    KOCHA, Pep Guardiola amesema anafurahia kuwa kocha wa Manchester City licha ya kuwapo na uvumi unaozagaa kwamba ataachana na miamba hiyo ya Etihad mwishoni mwa msimu.

  7. Bruno Fernandes adai mkewe anamkosoa sana

    KIUNGO Bruno Fernandes amefichua mkosoaji wake mkubwa ni mkewe, mrembo Ana Pinho.

    BRUNO Pict
  8. Man United imempa presha Carlos Baleba

    KIUNGO wa Brighton, Carlos Baleba amekiri kwamba tetesi za kutakiwa na Manchester United zilimfanya kuwa na presha kubwa na kumfanya aanze msimu kwa kiwango chenye wasiwasi.

  9. Newcastle yapewa Man City Carabao, Chelsea ikizisubiri Arsenal, Crystal Palace

    NEWCASTLE United itakabiliana na mabingwa mara nane wa Kombe la Carabao, Manchester City, katika hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.

    CARABAO Pict
  10. Victor Mwandike afariki dunia akiacha historia Kariakoo Derby

    Refa mstaafu wa kimataifa wa Tanzania, Victor Mwandike, amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam.

    MWANDIKE Pict
Previous

Page 155 of 967

Next