Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8488 results for Mwandishi Wetu :

  1. Maswali tata kwa England ya Tuchel kabla ya Kombe la Dunia

    WAKATI dunia ya soka ikisubiri kwa hamu fainali za Kombe la Dunia 2026, macho mengi yameelekezwa kwa timu ya taifa ya England, ambayo kwa miaka ya karibuni imekuwa ikipewa nafasi kubwa ya kufanya...

    ENGLAND Pict
  2. FIFA yapandisha bei ya tiketi Kombe la Dunia 2026

    SHIRIKISHO la Soka Duniani, FIFA, limeongeza bei ya juu ya tiketi za fainali ya Kombe la Dunia 2026 hadi Dola 10,990 (zaidi ya Sh27 milioni za Kitanzania), hatua iliyokuja wakati wa kufunguliwa...

    FIFA Pict
  3. Rio Ferdinand aipa ujanja Manchester United

    NGULI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, ameishauri klabu hiyo kuweka nguvu kubwa katika usajili wa viungo wawili kwenye dirisha lijalo la majira ya joto, akisisitiza pia kuongeza...

    RIO Pict
  4. Wasaudia wataka kumalizana na Salah mapema

    MATAJIRI wa Ligi Kuu Saudi Arabia, wana matumaini makubwa ya kuipata huduma ya mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

    FUNUNU Pict
  5. Kimeumana Chelsea! Enzo Fernandez apigwa ‘pini’, Cucurella matatani

    Chelsea imeingia katika kipindi cha misukosuko baada ya kiungo wake tegemeo, Enzo Fernandez kupewa adhabu kali kutokana na matamshi yake yaliyoashiria kutaka kuondoka klabuni hapo na kujiunga na...

    ENZO Pict
  6. De Zerbi: Nipo tayari kushuka na Spurs

    KOCHA mpya wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi amesema yuko tayari kubaki na klabu hiyo msimu ujao hata kama itashuka daraja mwishoni mwa msimu huu.

    SPURS Pict
  7. Ndo hivyo! Baada Buffon, Gravina ni zamu ya Gattuso

    HAKUNA namna. Baada ya kipigo kilichoiondoa Italia kwenye kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026, baadhi ya viongozi wa timu ya taifa wameanza kujichomoa kwenye timu hiyo wakiwamo Rais wa...

    BACK Pict
  8. Bayern Munich yafukuzia rekodi Bundesliga

    MABINGWA watarajiwa Bayern Munich inaendelea kuwasha moto kwenye Bundesliga ikisaka kuweka rekodi mpya ya mabao msimu huu.

    BAYERN Pict
  9. Dar City, Petro de Luanda vita ya nafasi BAL

    DAR City na Petro de Luanda ya Angola zinatarajiwa kuonyeshana kazi katika mechi ya Ligi ya Kikapu ya Afrika (BAL) inayotazamiwa kutoa mwelekeo wa mabingwa wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL)...

    CITY Pict
  10. PRIME Kocha aliamsha, ataka mashine sita mpya

    Soma hapa

    BERKER Pict
Previous

Page 154 of 849

Next