Mavitu ya Japhet Makarai yamkosha Tico Tico KAIMU Kocha Mkuu wa TMA ya jijini Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico', amesema tangu winga mpya, Japhet Vedastus Makarai, ajiunge na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ameleta...
Tanzanite Queens bado kidogo fainali za Kombe la Dunia U20 USHINDI wa bao 1-0 iliyopata timu ya taifa ya Tanzania ya Wanawake wenye umri chini ya miaka 20, Tanzanite Queens umeiwezesha kuanza kunusa ushiriki wa Fainali za Kombe la Dunia U20 2026, kwani...
Cunha: Pointi 15 ni muhimu kuliko nywele za shabiki KIUNGO wa Manchester United, Matheus Cunha ametoa maoni yake kuhusu shabiki wa Manchester United ambaye ameapa kutonyoa nywele zake hadi klabu hiyo ishinde mechi tano mfululizo, akisema jamaa...
Harry Kane anaua tu, aweka rekodi hii STAA wa Bayern Munich, Harry Kane ameweka rekodi baada ya kufunga mabao mawili katika mechi ya Bundesliga dhidi ya Werder Bremen na kufikisha jumla ya mabao 500 tangu aanze kucheza soka la kulipwa.
Mabosi wapya BD Februari 22 MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD), Okare Emesu, amesema chama hicho kinatarajia kupata viongozi wapya kupitia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
No Tuchel, no Ancelotti Man United! UNAWEZA kusema dua za Michael Carrick zinapokelewa kimyakimya kutokana na kuongezeka kwa makocha wanaohusishwa na kibarua chake anachofanya kwa sasa kusaini mikataba kwingineko.
Spurs yamchukua Tudor aokoe jahazi TOTTENHAM Hotspur imemgeukia Igor Tudor kuwa kocha wa muda hadi mwisho wa msimu.
Barca ikimtosa Rashford fresh tu NDO hivyo. Barcelona haitatozwa faini yoyote ya kifedha iwapo itaamua kusitisha mpango wa kumsajili jumla mshambuliaji Marcus Rashford mwishoni mwa msimu huu wakati mkopo wake utakapofika tamati.
Crouch, Keown wabishana kuhusu Eze wa Arsenal NOMA sana. Staa, Eberechi Eze ameambiwa kuwa Mikel Arteta “hamkubali sana” kufuatia kikosi hicho kubanwa na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika Alhamisi iliyopita.