Kigogo Mtibwa Sugar aachia ngazi LICHA ya timu kufanya vizuri kwa kushika nafasi ya nne katika Ligi Kuu Bara, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mtibwa Sugar, Aboubakar Swabri amejiuzulu nafasi yake ndani ya timu hiyo.
Mbio za ubingwa EPL… Arteta amejaa hofu! KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri majeraha yanaweza kuharibu nafasi ya timu yake kutwaa mataji manne ya kihistoria msimu huu baada ya kumpoteza nyota mwingine muhimu wakati wa mchezo wa...
Gwiji Spurs amwonya kocha Igor Tudor GWIJI wa Tottenham Hotspur, Tim Sherwood, amemwonya kocha mpya wa mpito Igor Tudor kwamba kuna hasara kubwa na faida ndogo sana katika kazi yake mpya ya kuinoa miamba hiyo ya London.
Cheki Lamar anavyokimbiza mfukoni na jukwaani WIKI chache zilizopita, rapa wa Marekani, Kendrick Lamar, alirudi kwenye vichwa vya habari baada ya kushinda tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa rapa aliyefanya hivyo mara nyingi zaidi (27).
Liverpool mstari wa mbele dili la Anthony Gordon LIVERPOOL ipo mbele katika mbio za kumsajili winga wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Anthony Gordon, 24, ambaye pia anahitajika na Manchester City na Arsenal.
Slot aweka wazi hatma ya Ibrahima Konate KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefunguka kuhusu mustakabali wa beki kisiki wa timu hiyo raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.
TRA United mambo si shwari MABOSI wa TRA United huenda wakaachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya pande hizo zote mbili kutokuwa na maelewano mazuri kwa siku za hivi karibuni, jambo...
Haaland bado anaumwa, Arsenal kicheko KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amekiri kuwa Erling Haaland hayuko fiti kwa asilimia 100 baada ya kutoonekana uwanjani katika mechi ya Kombe la FA dhidi ya Salford.
Tyson afunguka pambano la Mayweather BONDIA mkongwe, Mike 'Iron' Tyson ametoa taarifa muhimu kuhusu pambano linalosubiriwa kwa hamu kati yake na Floyd Mayweather.