Kane amuweka chini Haaland Bundesliga KITU ambacho ni sahihi kumwelezea straika Harry Kane ni kumwita jina la ‘mtambo wa mabao’.
Bada, Damaro ndani Singida v Kagera Sugar SAKATA la wachezaji watatu wa kigeni waliobadilisha uraia wao limechukua sura mpya baada ya wawili kati yao kuanzishwa katika kikosi cha timu ya Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar.
Tajiri kaamua, wafanyakazi wengine kuliwa vichwa united TAJIRI na mmiliki mwenza wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe inadaiwa kuwa na hofu timu huenda ikakumbana na hali mbaya ya kiuchumi ikiwa hatochukua jukumu la kuendelea kubana matumizi.
Juve yawa shubiri kwa Luiz, Alisha UHAMISHO wa wanasoka wawili wapendanao, Douglas Luiz na Alisha Lehmann wa kutua Juventus umegeuka kuwa shubiri miezi michache tu tangu wasajiliwe kutoka Aston Villa.
Lampard apata ajira baada ya miezi 18 BAADA ya miezi 18 bila ya ajira hatimaye kocha wa zamani wa Chelsea, Everton na Derby County, Frank Lampard ametua baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa Coventry City ya Championship.
Pep alia ugumu wa ratiba Man City PEP Guardiola amedai hana sababu ya kulalamikia ratiba ngumu inayoikabili Manchester City kwa mwezi huu wa Februari kwa sababu siku zote England imekuwa na tatizo hilo miaka yote.
Lewandowski anunua mjengo kisiwa cha raha huko Hispania STRAIKA wa Barcelona, Robert Lewandowski ametumia Pauni 9.2 milioni kununua jumba la kifahari huko Mallorca.
Kilimanjaro Heroes ni ubingwa tu Mapinduzi Cup Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Heroes' limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika Pemba, Zanzibar ni kutwaa ubingwa.
TBF yalamba Sh194 milioni BetPawa KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya BetPawa imetangaza udhamini wa Sh194.8 milioni kwa ajili ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF)...
Dani Olmo kubebwa bure kabisa KIUNGO mshambuliaji wa Barcelona, Dani Olmo yupo kwenye hatari ya kuzuiwa kuitumikia timu hiyo jambo litakalomfanya aondoke bure kabisa.