Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8474 results for Mwandishi Wetu :

  1. Makalla amzawadia Chobwedo njumu, amtaka kuendelea kupambana

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Gabriel Makalla leo Jumanne Aprili 21, 2026 amekutana na kumpatia zawadi ya viatu winga wa TRA United, Ramadhan Salum "’Chobwedo’, akimsifu kwa kiwango kizuri...

  2. Bernardo Silva ‘mashine ya kazi’ inayowaacha Guardiola, Haaland kwa simanzi Man City

    INGAWA Erling Haaland ndiye aliyefunga bao la ushindi katika ushindi wa mabao 2-1 wa Manchester City dhidi ya Arsenal, Jumapili iliyopita, sasa ameamua kumtaja mchezaji bora wa mechi hiyo akisema...

    SILVA Pict
  3. Chama la Jordan Ayew, Patson Daka lashuka, kucheza daraja la tatu England

    Leicester City imeshuka daraja kwa mara ya pili mfululizo hadi League One, takribani muongo mmoja tu baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (Premier League).

  4. Bado tano! Vita ya kushuka EPL ilivyoanza kukolea

    KUANZIA maumivu ya Jumamosi iliyopita hadi ahueni fulani wiki hii! Huu umekuwa ni msimu mgumu kwa mashabiki wa Tottenham Hotspur, lakini baada ya kuona timu ikiruhusu bao la kusawazisha katika...

    EPL Pict
  5. Mapinduzi yalivyoubadilisha mchezo wa ngumi

    NDONDI za uzito wa juu (heavyweight boxing) zimekuwa moja ya michezo yenye mvuto mkubwa duniani kwa miongo kadhaa.

    NGUMI Pict
  6. Aliyezimishwa ulingoni amkataa Mayweather

    BONDIA wa Marekani, Victor Ortiz amesema kuwa hamchukulii Floyd Mayweather Jr. kama mpinzani bora zaidi aliyewahi kukutana naye ulingoni.

    ORTIZ Pict
  7. Tchouameni aingia anga za Man United

    MANCHESTER United inataka kufanya kila linalowezekana kuhakikisha inamsajili kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Aurelien Tchouameni, 26.

    FUNUNU Pict
  8. Mnigeria apanga kujiondoa Wolverhampton Wanderers

    NYOTA wa kimataifa wa Nigeria, Tolu Arokodare anatarajia kuondoka Wolverhampton Wanderers dirisha lijalo la usajili kufuatia ugomvi uliotokea ndani ya chumba cha kubadilishia nguo.

    MNIGERIA Pict
  9. Chelsea kumweka sokoni Garnacho, sababu yatajwa

    CHELSEA wapo tayari kumuuza winga Alejandro Garnacho msimu huu wa majira ya joto, kwa mujibu wa talkSPORT, ambapo uongozi wa klabu umetambua kuwa usajili wake wa Pauni 40 milioni haujaenda kama...

    GENACHO Pict
  10. Simba, Yanga kuchuana vikali Mei 9, The Super Dome

    TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimepangwa kutolewa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo jijini Dar...

Previous

Page 135 of 848

Next