Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9656 results for Mwandishi :

  1. Mshindi tuzo ya Ballon d'Or anavuta mkwanja kiasi gani?

    Sherehe za Ballon d’Or mwaka 2025 zinatarajiwa kufanyika leo kuanzia saa 4:00 usiku katika ukumbi wa Theatre du Chatelet, Paris, Ufaransa na ulimwengu wa soka unasubiri kwa hamu kuwaona washindi...

  2. Cedrick Kaze akabidhiwa Kaizer Chiefs, Nabi akiaga

    Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imempa jukumu Cedrick Kaze kuinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu kufuatia uamuzi wa kuachana na Kocha wake Mkuu, Nasreddine Nabi jana.

  3. Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Amolo Odinga, aliyefariki dunia leo...

  4. Sam Allardyce: Liverpool itajuta kwa kutomsajili Marc Guehi

    Aliyekuwa kocha Crystal Palace, Sam Allardyce, anaamini kuwa Liverpool watakuja kujutia kushindwa kumsajili beki Marc Guehi wakati wa usajili wa majira ya joto.

    GUEHI Pict
  5. Guardiola kuwakutanisha mezani Ferguson, Wenger

    Kufikisha ushindi wa 250 katika Ligi Kuu England ni mafanikio makubwa yanayohitaji aina maalum ya sherehe. Kupitia hilo, Pep Guardiola amepanga kuwakutanisha Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger...

  6. PSV yailaza Napoli kwa mabao 6-2

    PSV Eindhoven imepindua matokeo kwa kishindo na kuishangaza Napoli iliyomaliza ikiwa na wachezaji 10, kwa ushindi wa mabao 6-2 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezw usiku wa Oktoba...

  7. Liverpool yarudi katika ubora wake ikiichapa Real Madrid

    Liverpool imerudi katika kiwango chake cha juu ilipoitandika Real Madrid kwa mchezo wa kuvutia na kupata ushindi muhimu wa Ligi ya Mabingwa nyumbani kwenye uwanja wa Anfield usiku wa Novemba 4...

  8. Harry Kane: Levy?  Hii sio poa

    STRAIKA, Harry Kane amesifu kazi bora kabisa iliyofanywa na Daniel Levy kwenye kikosi cha Tottenham Hotspur baada ya bosi huyo kung'oka kwenye kikosi hicho cha London.

    KANE Pict
  9. Szoboszlai amsubiri CR7 ampe jezi, kapewa mwingine

    SUPASTAA, Cristiano Ronaldo ameshindwa kubadilishana jezi na Dominik Szoboszlai baada ya mechi iliyokutanisha timu zao Ureno na Hungary kwenye mchakamchaka wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia...

    CR Pict
  10. Bega la Odegaard lashtua Arsenal

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta anakuna kichwa kutokana na kiungo na nahodha wake, Martin Odegaard kuwa na rekodi za kuumiaumia kwa siku za karibuni.

    ODEGAD Pict
Previous

Page 135 of 966

Next