Wakala ampeleka Silva Madrid JORGE Mendes, wakala wa kiungo Bernardo Silva ameripotiwa kupiga simu Real Madrid na kuwaambia kuwa staa huyo wa Manchester City mwenye umri wa miaka 31, angependa kujiunga na timu hiyo katika...
Alexander-Walker aanza mambo, abeba tuzo ya kwanza NBA 2026 NYOTA wa Atlanta Hawks, Nickeil Alexander-Walker, ameandika historia mpya baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji aliyeboreshwa zaidi (Most Improved Player – MIP) katika msimu wa NBA...
Forest yajinasua kwenye hatari ya kushuka daraja EPL USHINDI wa mabao 5-0 ambao iliupata Nottingham Forest jana Ijumaa ikiwa ugenini dhidi ya Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu England, umeisaidia timu hiyo kuwa mbali na hatari ya kushuka daraja...
Mahakama Hispania yafunga uchunguzi kifo cha Diogo Jota na mdogo wake MAHAKAMA nchini Hispania, imeamua kuwa hakukuwa na kosa la jinai katika ajali ya gari iliyosababisha kifo cha mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Diogo Jota na mdogo wake, Andre Silva.
Kane atajwa chambo kwa Gordon KLABU ya Bayern Munich, imeendelea kuvuna vipaji kutoka Ligi Kuu England katika miaka ya hivi karibuni huku nyota kama Harry Kane, Michael Olise na Luis Diaz wakihamia Ligi Kuu Ujerumani na...
Fabregas avunja ukimya, aipa kipaumbele Como kuliko Chelsea ALIYEKUWA nyota wa Chelsea, Cesc Fabregas, amevunja ukimya kuhusu tetesi zinazomuhusisha na kibarua cha ukocha katika klabu hiyo huko Stamford Bridge, akisisitiza kuwa kwa sasa mawazo yake yapo...
Wakali wa asisti msimu mmoja Ligi Kuu England KUTOKANA na Bruno Fernandes kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuvunja rekodi ya pasi za mwisho (asisti) nyingi zaidi katika msimu mmoja wa Ligi Kuu England, hawa ndio bado anapaswa kuwazidi ili...
Doku: Nikiongeza tu mabao nakuwa winga bora duniani ANAJISIFU? Bila shaka ana kitu miguuni mwaka. Kasi, nguvu ya kushambulia na ustadi wa haraka wa kupiga chenga, winga wa Manchester City, Jeremy Doku ni jinamizi kwa mabeki wa timu pinzani katika...
Nyuma ya vita ya ubingwa Ufaransa TAYARI bingwa wa Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga) ameshafahamika, Bayern Munich, lakini timu katika ligi zingine zinaendelea kupambana kusaka ubingwa na lolote linaweza kutokea kati ya sasa mwisho...
EPL na hesabu za vidole Ligi ya Mabingwa Ulaya NAFASI za kushiriki mashindano ya Ulaya kutoka Ligi Kuu England msimu ujao bado zinabadilika-badilika, jambo linaloacha msisimko mkubwa hadi siku ya mwisho ya kipute cha ligi hiyo bora zaidi...