Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9655 results for Mwandishi :

  1. Nabi afanya umafia, amteka straika mpya Simba

    SIMBA inapambana kumaliza usajili wa kinara mmoja wa mabao ambaye klabu yake inaweka ngumu, lakini kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amefanya umafia akijifungia na staa huyo kupiga stori.

  2. Tanzania, Ivory Coast kusaini ' MOU ' sekta ya michezo

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Januari 26, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast Mhe. Adjé silas na katika mazungumzo yao...

  3. Simba yakiri kosa, kuilipa Teungueth

    Uongozi wa klabu ya Simba umekiri hakukuwa na mawasiliano na klabu ya Teungueth ya nchini Senegal iliyoshinda kesi ya madai kuhusu dili la Pape Sakho kwenda Ufaransa. Mchana leo ilitoka taarifa...

  4. Mayele hakutamba kwa timu hizi Ligi Kuu Bara

    Mshambuliaji mpya wa klabu ya Pyramids, Fiston Mayele atakumbukwa Yanga kwa ubora wake wa kupachika mabao na katika misimu miwili aliyokaa Jangwani amecheka na nyavu mara 33 kwenye Ligi Kuu...

  5. Yanga yambeba Mudathir, yaipiga bao Simba

    Yanga imeanza usajili wa dirisha dogo kibabe baada ya kumtangaza kiungo mkabaji Mudathir Yahaya. Mudathir ambaye ni kiungo wa zamani wa Azam amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga...

  6. Yanga kushusha kifaa Afrika Kusini

    Rais wa Yanga, Hersi Said amesema wanafuatilia kama mchezaji nyota wa Kaizer Chiefs, Khama Billiat (32) ataongeza mkataba klabuni hapo kwakuwa ni miongoni mwa wachezaji walio kwenye rada...

  7. Lokosa is Red

    Simba SC leo Januari 25 wamemtambulisha rasmi mshambuliaji wao toka Nigeria, Junior Lokosa ambaye aliwasili nchini Jumamosi Januari 23. Kupitia akaunti za mitandao ya kijamii ya Simba...

  8. Kaimu Meneja Kwa Mkapa, wengine sita wasimamishwa kazi

    Waziri wa Sanaa, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk Pindi Chana amewasimamisha kazi watumishi saba wakipisha uchunguzi akiwemo Kaimu Meneja wa Uwanja wa Mkapa, Salum Mtumbuka baada ya tatizo...

  9. Hivi ndivyo Magufuli atakavyozikwa

    Ni huzuni na majonzi. Ndivyo unavyoweza kuizungumzia siku ya leo Ijumaa Machi 26, 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi wa Serikali, majeshi ya ulinzi na usalama, vyama vya...

  10. Mbao, Alliance zashuka daraja 

    Timu nne zinazoshika mkia katika kila kundi la Ligi Daraja la Kwanza, zinashuka daraja kwenda Ligi Daraja la Pili

Previous

Page 131 of 966

Next