Madaktari waonya kina Molinga kuongezeka uzito Kocha msaidizi wa timu ya soka ya Yanga, Charles Mkwasa, juzi alianika ripoti ya vipimo vya madaktari wa timu hiyo vinaonyesha kuwa baadhi ya wachezaji wameongezeka uzito akiwamo mshambuliaji...
Tattoo za Wawa zina maana kubwa HUWEZI kuamini lakini huu ndio ukweli wa mambo kuwa, beki wa kati Muivory Coast Pascal Wawa mwili wake una tattoo zaidi ya 20 huku mwenyewe akifichua kwamba, kuna wakati husahau hata idadi kamili.
Duh! Bellerin ndo basi tena Wakati wowote anaweza kuingia chumba cha upasuaji kwa lengo la kuzikarabati nyuzi na kuirudishia mahala pake. Katika mechi aliyoumia alitoa mchango mkubwa katika ushindi huo ikiwamo pasi...